Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ad Kampuni ya SpaceX imeingia kwenye changamoto kubwa sana kwa kupambana na Adui ambaye asiyemtarajia kabisa, sio Kampuni pinzani au uchafu wa Anga bali ni Jua. Utafiti mpya unaonyesha kuwa...
3 Reactions
3 Replies
577 Views
Habari, za wakati huu wana Jf, Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II...
1 Reactions
7 Replies
703 Views
Kuna huyu msanii anaitwa Magambo, akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM mbele ya Samia Suluhu, ameonekana akiwa kavaa suruali yenye muonekano kama ya Jeshi. Ni kosa kuvaa nguo zenye mfanano...
1 Reactions
6 Replies
535 Views
Yer 17:15 SUV [15] Tazama, wao waniambia, Neno la BWANA liko wapi? Na lije, basi. Nabii Yeremia alieleza dhihaka na mashaka aliyokutana nayo kwa watu wa Yuda, watu hawa walimkataa Mungu kwa...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani? Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi? Tena...
15 Reactions
245 Replies
66K Views
Kwa hiyo sasa hivi jamaa atakuwa amezungukwa na watu 6 mmoja kakaa kwenye kiti kama nilivyoota jana huku yeye kapiga magoti anatoa password na email watu wanafuta tu account zake zote, halafu...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii inchi ni ngumu sana wakuu Mimi nilitegemea wanajeshi watukomboe kumbe wanajeshi nao wanatutegemea sisi raia tena Dah nimechoka kabisa...
14 Reactions
43 Replies
1K Views
Hivi ni kweli hizi tetesi na uvumi Raila na Born town wako Hoi hawawez kuinuka hata kitandani. Ama ni story na porojo za wambea vijiweni wakishashiba na kuvimbiwa na kande? Magonjwa Mtambuka Una...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Benki ya DCB ,Commercial Bank Plc imezindua rasmi kampeni yake mpya iitwayo “Tuko Ground na Wenyewe”, yenye lengo la kuongeza ujumuishaji wa kifedha na kuhamasisha matumizi ya huduma za kidigitali...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Yaani alikuwa kila siku anaongea kwa kuficha ficha anaacha kumwaga Kila kitu hadharani sijui alikuwa anaficha ficha nini mwisho wa siku wamemnyakua kabla hata mengine hajaongea Kapata alichokuwa...
2 Reactions
4 Replies
329 Views
Unajiuliza JWTZ linasema linalinda mipaka halafu watu wanauawa kwa kasi na kutekwa kipindi hiki ni mipaka gani hiyo wanayolinda. Baadhi ya watanzania waliojiunga na jeshi kama wakina Tesha...
6 Reactions
7 Replies
396 Views
Dar es Salaam. Tarehe 06 Oktoba 2025: Benki ya CRDB leo imezindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika katika tawi la Dar Village jijini Dar es...
1 Reactions
8 Replies
417 Views
Hivi hii benki imekuwaje siku hizi? Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao. Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01. Acheni kucheza na hela...
12 Reactions
70 Replies
2K Views
Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga. Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa...
1 Reactions
8 Replies
355 Views
Habarini wakuu… Leo nataka tupige soga kuhusu hii ishu kidogo kisha tuendelee na ujenzi wa taifa. Neno ‘haki’ lina maana ya stahili ya mtu, suala ambalo ni stahili ya mtu kupata. Na neno stahili...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni kwamba serikali na viongozi mlitegemea nini mnapomfunga mtanzania kutoa malalamiko yake?! Mwanzo watanzania tulizoea wapinzani watusemee na kutuwakilisha kwa kile kinachotuumiza mioyo yetu...
37 Reactions
63 Replies
2K Views
Wewe watu wanasifia kila kitu unachofanya na unaona wako sawa tu. Ukiiba wanasifia Ukikemea wizi wanasifia Ukikemea uuaji wanasifia MACHAWA sio watu, si mnawaona humu. Hao hao walifurahia...
17 Reactions
21 Replies
807 Views
1. Acha kabisa kutumia Simu 2. Kaa mbali kabisa na Ndugu zako na Marafiki zako uliowazoea 3. Hakikisha kila Siku unahama makazi 4. Matembezi yako yawe ni ya Kimahesabu na yawe ni nyakati za...
9 Reactions
20 Replies
898 Views
Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai, Moshi, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Alhamisi, Oktoba 2, 2025, akidaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya...
14 Reactions
196 Replies
6K Views
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha...
1 Reactions
2 Replies
299 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…