Tanzania na China ni nchi ambazo zimekuwa zikiimarisha uhusiano wao ulioanza tangu enzi na dahari. Uhusiano huu umejengwa katika misingi imara na isiyotikisika, ambapo mbali tu na kujikita kwenye...
Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi...
Aliyekuwa mmiliki wa Home Grand Hotels, Mweka Hazina wa TCCIA Mkoa, na mfadhili wa CCM Wazazi, Kevin Williams Mbogo, amefariki dunia usiku wa leo Oktoba 4, 2025, kufuatia ajali ya gari iliyotokea...
Chini ni video mbili ya maghorofa ya ki fahari. Yote yako sokoni, kwenye mitaa ya kishua na fully furnished.
Video ya kwanza hapo chini ni ghorofa liko Mbweni JKT ambalo liko sokoni Kwa shilling...
Huko Arusha miaka kadhaa nyumba iliyopita alikuwa jamaa anaitwa teleza naye alikuwa na michezo hii. Baada akapotoa
Haya huko Dodoma wamejitokeza wengine, hii sasa ni balaa tu...
Wasalaam JF,
Ndugu Watanganyika wenzangu wakati vuguvugu hili la Bandari zetu kuwa katika hali ya sintofahamu. Niwakumbushe huyu Mwamba anaezuia mainstream media kuripoti taarifa mbalimbali za...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limepokea taarifa za kutoweka kwa mtu mmoja aitwaye Rogers Yohana Ludovick (34) na tayari uchunguzi wa kufuatilia taarifa hizo umeanza.
Tukio...
Sifa ya Ego ni ya mwanaume na si ya mwanamke, mwanaume ndio mwenye ego ya mamlaka na uongozi kwenye ndoa
Hivyo basi mwanamke anapotaka kuchukua nafasi ya mwanaume na kuleta zile habar za 50/50...
Natumaini mko powa wanajukwaa hili la JF (JamiiAfrica)
Leo tarehe 05/05/2025 imetimia siku 1075 au miaka 3 kasoro tangu dada maarufu kwa jina la Manka (Sauda jina la kuzaliwa) apotee kwa kutekwa...
Kwa yanayoendelea nchini, bila shaka Tanzania inaongoza kuwa ni nchi hatari zaidi kwa upande wa Africa mashariki maana kila kukicha matukio ya utekaji yanaongezeka, hofu zinazidi kutanda na...
Naomba nijifunze kupitia nyinyi, tiririka hoja zako hapo kisha weka kwa muhtasari tu kuonesha walikuwa sahihi au hawakuwa sahihi. Lugha ngumu (matusi, dharau, kebehi na mfano wa hayo) marufuku...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala limethibitisha kutokea kwa ajali ndogo ya ujenzi katika jengo lililopo Mtaa wa Aggrey, Kariakoo, ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya mbao na milunda...
Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu.
Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa...
Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru.
Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la...
Jamani, labda ni mimi tu, lakini nimeshaona mara nyingi — hakuna roho mbaya kama za watu wanaotafuta vyeo makazini. 😅
Ukiwa nao ofisini, kila siku ni siasa, fitina, na “kujisafisha” mbele ya...
Yer 18:8 SUV
[8] ikiwa taifa lile nililolitaja litageuka, na kuacha maovu yake nitaghairi, nisitende mabaya yale niliyoazimia kuwatenda.
Kupitia kinywa cha nabii Yeremia, Mungu anazungumza...
Katika makutano ya Barabara ya Ally Hassan Mwinyi na Kinondoni na mpaka mbele kuelekea makutano ya Barabara ya Ohio pamejaa watoto wengi wa kike na wa kiume ambao wanaishi katika mazingira...
Wizara ya Utamaduni, Dawati la Jinsia na Dini yake, huruma mnayompa Anko T ndiyo inayosababisha ongezeko la vijana wa kiume kuvuana nguo za ndani
Unaweza kufurahia matendo ya vijana wa kiume...