Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hivi huyu mkuu wa usalama wa taifa hicho cheo alikipataje?
Chawa wake ni akina nani , ana magari mangapi, analala chumba gani, ana watoto...
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na makundi maalumu, Doroth Gwajima ametoa cheti kwa mwanaumea aliyekimbiwa na mkewe siku ya harusi kutambua...
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Justine Gama (40), raia wa Malawi anayeishi mjini Mzuzu nchini humo, kwa tuhuma za kukutwa na vipande vya pembe za ndovu kinyume na sheria za uhifadhi...
Septemba 16 2024 Dunia ilipata taarifa kuwa Sean Combs ametiwa nguvuni na mamlaka na kuzua gumzo kubwa sana katika vyombo vya habari duniani, siku chache baadaye chombo cha habari cha TMZ...
Ila hii nchi vyama kama CCM, viongozi wa dini na Askari huwa ndo wanafanya maandamo ya amaniila mtu mwingine akijaribu tu wanaita vurugu. Tumeshuhudia kila wananchi wanaposema wanfanya maandamano...
Leo ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu alipofariki Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika, kisha Rais wa...
Anaandika mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X
1. Kanda ya Nyasa aliyetekwa ni mmoja
Jina: Abedinego Sanga
Cheo: Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Lupembe, Mkoa wa...
Serikali ya Venezuela imetangaza kufunga balozi zake nchini Norway na Australia na kufungua mpya katika mataifa ya Burkina Faso na Zimbabwe, ikisema ni sehemu ya “mabadiliko ya kimkakati” ya...
Naamka asubuhi na mapema nikiwa na njaa. Nachemsha chai nakumbuka kitafunwa sina. Natoka barabarani namwona mama muuza mihogo.
"Niuzie ya mia tano!"
"Subiri kidogo, ndiyo kwanza nimeiweka...
Habari wanajukwaa.
Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas.
Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket...
Naombeni wenye ujuzi wa haya mambo kwa mfano umekopa kwenye hizi micro credit wakawa wanakata hela Moja kwa Moja bank je ukiamua kubadilisha mshahara uuchukulie bank nyingine itakuwa umejiondoa...
Wakuu
Kuna mwanamke kipindi Cha ujana tulifanikiwa kupata mtoto.
Baada ya hapo nikawa nimetoka sehemu hiyo
Sasa mwanamke majina yangu hakua anaya fahamu, Ikabidi mtoto apewe majina tofauti na...
Kwa yanayoendelea mpaka sasa, ninathubutu kusema kuna uwezekano mkubwa wanaomchukia SSH na kuona hatoshi hiyo nafasi ni wale walio ndani ya chama kuliko walio nje ya chama.
Kuna ambao wamejitoa...
Huwa naona kwenye mazoezi yenu mnaimba nyimbo kama hii
"Naapa Naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakurinda mpaka kufa"
"Sita simama maovu ya kitawala......"
Ukizingatia kwa kile tunachokiona...
Kuna mwalimu w kiume alikataliwa na mwanafunzi sasa yule teacher hasira zake akaamua kuzimalizia kwa darasa zima asee tulipigwa fimbo za kutosha tena tulikuwa tunapigwa za mapajani (chinichini ya...
Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya...
Huzuni imetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Udindivu Kata ya Mapinga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya Mahakama ya Wilaya hiyo kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wananchi hao katika...