Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Mwaswengu, ambaye ni Polisi Kata ya Songe, Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, amewataka wananchi wa kata hiyo kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha...
1 Reactions
3 Replies
174 Views
Huko Lindi - Oktoba 24, 2025. Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoa wa Lindi vimefanya mazoezi ya kutembea (Route March) ya pamoja iliwa ni kawaida kwao kufanya hivyo. Mazoezi hayo yakiwa na lengo la...
1 Reactions
3 Replies
244 Views
Viongozi mbalimbali wa dini mkoani Rukwa wametoa wito kwa waumini wao juu kuwapuuza watu wanao shawishi kupitia mitandao ya kijamii ili kufanya vurugu na maandamano wakati wa uchaguzi mkuu na...
0 Reactions
7 Replies
261 Views
Waislamu kutoka maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam asubuhi ya leo Oktoba 25, wamefika katika Msikiti wa Nurul-Hikma ulioko Mtaa wa Yombo, karibu na Mwembe Yanga, Temeke kwa ajili ya Kongamano la...
1 Reactions
5 Replies
282 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga, amewahakikishia wananchi Mkoani humo kuwa Mkoa wa Songwe upo salama, wenye utulivu na amani...
1 Reactions
2 Replies
206 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kikristo Tanzania (CCT) Mkoa wa Dodoma, Askofu wa Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT) Joseph Mtolela, ametoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha amani na...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Makarani Waongozaji Wapiga Kura wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, wala Kiapo cha Kutunza Siri na Tamko la Kujitoa Uanachama wa Chama cha Siasa, mbele ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la...
2 Reactions
1 Replies
152 Views
Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake...
5 Reactions
22 Replies
644 Views
Wasalaam waungwana wachapakazi na Wazalendo wa Nchi hasa Tanganyika.. Yafuatayo ni makundi yanayo hatarisha sehemu zao za Siri kishughulikiwa na kuchakaa kabisa 1. Wanawake wenye tamaa ya pesa...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Albert Machumu, ambaye alikuwa Mgombea wa Serikali ya Mtaa wa Katoma kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na pia Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho katika Jimbo la Geita Mjini...
7 Reactions
38 Replies
842 Views
Kama kuna Kitu ambacho Rais wa Uganda Yoweri Kagua Museveni na Mkuu wa Majeshi wa Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba hawataki kukifanya na kamwe hawatokuja kukifanya Abadan ni kuikosea Adabu...
1 Reactions
8 Replies
439 Views
WAISLAMU WANATAKA TUWACHUKIE WAYAHUDI Wanatulazimisha Wakristo tuwachukie Wayahudi na tuwaue kama wao walivyoamrishwa kuwaua. Maana riwaya zao zinawaambia kuwa Kiyama hakiwezi kuja hadi Waislamu...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Wakuu, Huyu mbona kama kalipwa afanye promo, nakataa hii siyo akili ya Kenya ------------- Watangazaji wa kipindi cha Maaskani cha Radio47 nchini Kenya, Billy Miya na Mbaruk Mwalimu, walitoa...
0 Reactions
6 Replies
414 Views
📘 Rich Dad Poor Dad – Summary Overview Rich Dad Poor Dad is a personal finance book where the author, Robert Kiyosaki, shares the lessons he learned from his two “dads”: Poor Dad — his...
4 Reactions
5 Replies
374 Views
kuna majina ambayo yamepigwa marufuku katika baadhi ya nchi kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya, historia mbaya, au maana zisizofaa. 1. Hitler – Jina hili limepigwa...
28 Reactions
48 Replies
3K Views
Viongozi wa dini mbalimbali wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamejitokeza kuliombea Taifa amani na utulivu, kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, huku wakiwataka wananchi...
1 Reactions
3 Replies
186 Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limepokea magari mapya sita ya kisasa kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na usalama kwa wananchi pamoja na mali zao. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa...
1 Reactions
7 Replies
377 Views
Jeshi la Polisi mkoani Manyara, linamshikilia mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita akidaiwa kufanya uchochezi. Akizungumza...
2 Reactions
11 Replies
578 Views
GT Itakuwa story kubwa sana kesho. Wavaa suti.watajazana kusikia nini kinasemwa aha ha ha Tutabiri kauli ya Malasusa ah ahaha mtego mtegoni. Sijalelewa kupingana na serikali.
2 Reactions
8 Replies
380 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…