Shida ya serikali yetu imechukua mizizi kwamba njia pekee ya kuwanyamazisha wananchi ni kuwatia mbaroni au kuwatisha kwa jeuri au kauli kali. Wamesahau kabisa kwamba kila siku watoto wa binadamu...
Binafsi nakupongeza sana kwa kutengeneza wapinzani milioni 60
Hii inaonesha ni jinsi unavyokaribia kusambaratika kabisa
Wenzako walikua na akili, walihakikisha wanakua na wapinzani wa chama cha...
Huu ni ujinga kila siku watu wanateseka kwa maovu na uonevu wa viongozi ndani ya Tz na huku watu wakijinadi kuwa wanauwezo wa kulipiza kwa nguvu za asili kila leo.
Ni wazi mungu wa biblia na...
Katika forex kuna vipindi vya habari ambavyo upimwa madaraja matatu niliyotaja hapo juu.N amadaraja haya kuna daraja kubwa ambalo ni high impact ambalo mfano spika wa bunge nchi ambayo mfano USA...
Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo.
Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
Kongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma...
Picha: Abbasi Rajabu mkali ni miongoni mwa waliouliwa kikatili tarehe 29/10/2025.
Abbas Rajabu Mkali askari Magereza kituo cha kazi Mbarali nae aliuwawa miongoni mwa mauwaji ya hovyo ya tarehe...
Kuandamana bila objectives ni kupoteza muda.
Tunaandamana ili tu-achieve nini??
Mambo gani tunataka yatekelezwe??
Nashauri, Gen Z tuset Malengo machache ambayo ndo sababu ya sisi kuingia...
Leo ndo nimeamini hakuna jeshi bali ni kikundi cha wanasiasa
Jeshi gan uchwara kama hili?
Wanapongezana kwa mauaji kwa kupandishana vyeo
Gen Z, taifa halitokombolewa kwa kuwategemea JW bali ni...
Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu.
Tukija kwenye mada , Leo mange...
Mnaofanya kazi za serikali kusupply na wengine mnaofanya kazi na mashirika makubwa ya wawekezaji au kampuni za nje mbona kama speed imepungua ya huduma na tenda zao.
Kwa sasa hata tuliokuwa...
Chama cha Mifuko ya Matengenezo ya Barabara Afrika (ARMFA) kimemchagua Mhandisi Rashid Selemani Kalimbaga wa Tanzania kuwa Rais wake mpya katika siku ya nne ya Mkutano Mkuu wa 22 unaofanyika mjini...
Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi.
Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja...
Nimekuwa ninarejea mambo yalivyokuwa wakati bado niko shule ya msingi na sekondari miaka hiyo hasa upande wa siasa za CCM( leo hii chama cha rangi ya Alizeti). Mikutano mikuu ya CCM ilivyokuwa...
Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna...
Kiongozi jitahidi kuacha yako uliyonayo, bali ita vikundi mbalimbali jadili nao. Viongozi Wa siasa, dini, NK mbona watanzania wapole tu. Ila ukishupaa utaona moto Wa kiburi
Inakuwaje makanusho yakawa vitendo yani wakiguswa hapa wanatenda kama wanasingizia AI, wahamiaji na pesa walillipwa kauli toka kwa Waziri Mstaafu wa fedha na sasa Waziri Mkuu.
Mnapoona kuna...