Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imesema ipo haja ya kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa yenye kujumuisha wadau mbalimbali ili kufanya tathmini ya matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu na...
Pastor Nganga kutoka Kenya amewata wabunge wa Kenya kuzungumzia kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 Tanzania akidai zaidi ya watu 3000 kuuliwa lakini wamegoma kulizungumzia hilo bungeni.
Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo la Katoliki Musoma ameeleza kuwa Wananchi waliomba Uchaguzi wa amani lakini imekuwa tofauti watu wengi wamepoteza maisha mbaya zaidi hata wasio na hatia...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limetangaza maombi ya siku saba kuombea walioathirika na yaliyotokea siku ya uchaguzi, huku likitoa wito kwa serikali kuwatendea haki raia wote...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao...
Habari wanaJF,
Ni siku nyingi sana sijazungumza humu. Nimekuwa tu zangu macho kufuatilia matokeo ya uchaguzi na ghasia na fujo zilizotokana na uchaguzi huu. Jamani, Mungu awape utulivu...
Habari za jumapili Wana bodi!
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimejaribu kuwaza hivyo, je tutarajie jambo kama Hilo kwa miezi mitatu ijayo?
Ipo wazi, impacts za Oct 29,2025 hazitoonekana...
JWTZ Haina Sifa ya Kuwa Jeshi la Wananchi
Katika muktadha wa mageuzi ya kijeshi na kisiasa duniani kote, tunapaswa kujiuliza: je, Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lina sifa ya kuitwa "Jeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.