Wadau,
Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo...
Inasemekana ,baadhi ya watu ukiwafanyia ubaya wala hawahangaiki na wewe kupelekana polisi bali watatumia ujuzi walionao kama ni albadiri au kukuroga .
Kuna watu wanasifika kuwa na karama ya...
Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha
Napenda vijana waishi na sio wafe
Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga...
Hamna haja ya kuwa vuguvugu
Mimi ni mtu wa bara lakini nakusapoti harakati zako.
Toa Mwigulu WEKA MZANZIBAR
Toa Padre IMMA WEKA MZENJI
Hakikisha unaisuka timu yako ambayo itabadlisha Katiba...
Majizo amesagiwa Kunguni baada ya kuwatetea wasanii
Sijui mshkaji kajichanganya vipi mwanangu!
Watu wengine presha wanazitafuta wenyewe
Wakati mwingine iwe funzo kufunua vyungu vya moto...
Siku nikiona bendera inapepea nusu mlingoti kisa mtu mmoja nitashangaa sana
Mbona tulipoondokewa na maelfu ya watu tarehe 29 October bendera iliendele kusogezwa juu ya mlingoti?
Iweje aondoke...
Mbu aina ya Anopheles
Bagamoyo. Katika utafiti wa kihistoria uliyochapishwa katika jarida la Nature, wanasayansi wa Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR)...
Magari ya polisi yakiwa mengi na maafisa wa polisi wakiwa na silaha za moto na helkopter wamekizingira chuo cha UDOM usiku huu
Haya yanajiri huku chuoni hapo kukiwa na vuguvugu la Maandamano ya...
Eze 16:15 SUV
[15] Lakini uliutumainia uzuri wako, ukafanya mambo ya kikahaba kwa sababu ya sifa zako, ukamwaga mambo yako ya kikahaba juu ya kila mtu aliyepita; ulikuwa wake.
Usaliti wa kiroho...
Nimepita sehemu fulani ofisi za serikali nikajua labda muda wao walimaliza tarehe 9.
Nikiangalia naona kinyume chake yaani polisi ndio wamekuwa wanavyeo kuwazidi wao. Ilitakiwa polisi ndio...
Katikati ya mambo magumu hivi Kuna mtu anafanya muamala na kuweka namba yangu.
Hili limeniuma mno 💔
41092 kama upo humu njoo PM nikuelekeze jambo
Anyway D9 mstari wa mbele kabisa
Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa
Nimefuatilia...
Dah ishakuwa mtihani kwakweli, maji ya chumvi yanatupausha, hakuna namna
Week ya pili sasa tuna taabika, Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
Ni mzee mmoja akisimulia kwenye dala dala kisa cha kusikia kwa abiria wakisafiri wote namna baba na bintiye waliokuwa karibu mno kuishia kukosana.
Haijulikani sababu hasa ni nini ila ndiyo...
Duru zinasema Kuna mpasuko ndani ya chama cha maamuma, bakwata na maaskofu njaa.
Mmoja wao katangazwa kutema bungo Leo na bado Kuna wengine wa ngazi za juu wako vizuizini.
Raha ilioje jamani...
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.
Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika...
Watalii kutoka nchi kadhaa huenda wakalazimika kutoa historia ya matumizi ya mitandao ya kijamii ya miaka mitano ili kuingia Marekani, kulingana na pendekezo jipya. Sheria hiyo ingewahusu wasafiri...
Wasanii jambo lao limefanikiwa kwa kiasi kikubwa, na yule mtu wao ameingia madarakani na tarehe 9 dec wameona wamepata ushindi mwingine.
Hivyo kwa sasa watakuja na kila aina ya gia kuwalaghai...