Moja kwa moja..
Kumekuwa na hoja miongoni mwa watu kuwa viongozi wa dini wa Kiislamu hawatetei haki wapo nyuma katika yale yanayoendelea nchini au wamepewa posho . Sasa nataka nichambue na...
Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais.
Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8.
Nani anaficha ukweli.
Hii picha waliotoa angalia
Hii funika kombe mwana haramu ili azidi kupita naona anapita na watu wengi.
Ni nini kinawapa kufunika mpaka kuanza kufunikana wenyewe.
Hapa JF tunaweza kuleta mafumbo ili kufikisha ujumbe.
Ni...
Ni kweli kuwa kwa miaka Mingi Tanzania ndio grant wa muziki kwa Afrika mashariki, muziki wetu na wasanii wetu umekuwa mkubwa na kushika soko la Afrika Mashariki kwa kasi,wasanii wa hapa nyumbani...
Unajua asilimia kubwa wengi tumezoea kuona mambo mengine kwenye jamii.
Ila kihoro kipo tena kwa sasa kina wakumba watu ambao hawa kutegemea kuwa watafika hapo.
Kihoro ni yale matendo uliyofanya...
JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kujiridhisha kuwa si ya kweli
Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo.
Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA.
Unaambiwa watu wanataka...
Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu.
kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni...
Kesi yafunguliwa dhidi ya IGP, DPP na ZCO kutaka Mwambe apewe Dhamana au afikishwe Mahakamani. Kusikilizwa Disemba 15
Wakili Hekima Mwasipu amefungua shauri la dharura Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Nchi imeshabadilika baada ya maelfu ya mauaji ya Watanzania kufanyika bila hatia, hivyo wananchi wamejaa na chuki, hasira, visasi, sumu n.k dhidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia...
Hakuna Kiongozi wa Chama chochote, wa Taasisi yoyote aliyepeleka barua polisi kuwajulisha kuwa wataandamana,kuruhusu jambo ambalo haliko official utakuwa ni uwendawazimu mno.
Taarifa za...
Wanangu siongei sana na nikiongea sana nitaharibu, halafu mimi nowdays naona hata kuwasanua watu wa mfumo naona ni kama nitawasaidia tu, waache wamalizane huko
Ishu ni simple tu kamati lishaundwa...
Habari za muda huu wana JamiiForums.
Uchumi wa nchi umeathirika uchumi wa mtu mmoja mmoja umeathirika kutokana na athari za MO29 na D9.
Hali hii itaifanya JANUARY 2026 kuwa mwezi mgumu sana...
Leo tunakumbushana jambo moja tu, hatuwezi kubadili tabia nchi bila kubadili tabia zetu. Ni jukumu letu kulinda mazingira, kutunza vyanzo vya maji, na kuheshimu ardhi inayotupa riziki. Tukifanya...
Moja kwa Moja.
Mwaka 2015 mitaa Fulani Dar es Salaam muda huo nipo kidato Cha kwanza (Form One) nilikuwa na hamu sana ya kumililiki simu , basi nikatafuta kibubu nikawa naweka pesa za shule kama...
Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na...
Mkiwa CCM tukiongelea haki mnatuona mafala
Shetani akiwataka na kuwateka mnaanza kutaka huruma yetu wapenda haki na Chadema
Sisi kwakuwa ni Watanganyika, nyie ni wenzetu tunawatetea tu
1...
Hii ni relini Unga Limited huyo hapo wameweka barrier wanataka vitambulisho na maswali kibao hadi ndui wanataka kuona kufika hapo huyo boda akawaambia anaenda mount meru hospital mkewe kaenda...
Wadau,
Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo...