Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili...
Watu hawa ni adui wa uchumi wetu tusiwape nafasi
1. Mijitu inayojipenyeza kwenye ajira kwa kutumia vyeti feki ili ipate mshahara ambao ndio kodi zetu
2. Mijitu inayoiba twiga na tembo wetu kisha...
Latvia inakabiliwa na tatizo la kipekee la idadi ya watu, ambapo wanawake wanazidi wanaume kwa zaidi ya 80,000. Hali hii imetokana na uhamaji mkubwa wa wanaume, tofauti za kiafya ambazo zinafanya...
Watu watano ambao ni madereva bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na lori lililofeli breki eneo la Dodoma Makulu jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Lori lilikuwa linatokea...
Siku hizi ajira/mchongo/biashara ni unajuana na nani?
Recommendations tu.
Don't dare to go to an interview or apply for a job.
Bongo kazi nyiiingi mnafundishana mnafanya.
Hakuna Rocket Science...
Wakuu kwema?
Nina swali la kwamba; kwanini baadhi ya vyuo vimehairisha mahafali (graduation)mpaka 2026 kwa wanafunzi wote undergraduate na postgraduate na wamemaliza masomo mwaka huu 2025?
Mfano...
Nimeingiziwa posho yangu . Haiuhusiani na mshahara wangu halafu mnakata kurejesha deni lenu.
Kwanini msifuate mkataba unavyosema kuwa huu mkopo unalipwa na mshahara.
Hizi pesa zingine zinawahusu...
Eze 17:24 SUV
[24] Na miti yote ya mashamba itajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeushusha chini mti mrefu, na kuuinua mti mfupi, na kuukausha mti mbichi, na kuusitawisha mti mkavu; mimi, BWANA...
Nguvu za giza (dark forces / evil spiritual forces) zinajumuisha roho chafu, mapepo, wachawi, mizimu ya giza, na mitandao ya kiroho inayotumika kwa madhara. Hapa chini naeleza mfumo wao wa kazi...
Tuanze kwanza M23 ni wa kina nani?.
Kuna historia kubwa zimeongelewa hapa JF kuhusu Congo, Rwanda na mambo yanayoendelea.
Nasema haya sababu hata Mwigulu alishatuambia tukimbilie Burundi na...
Labda mmekufa nyie ila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan yuko Gado (mzima) na anaendelea kupiga Kazi, tunamuunga mkono na tunamuombea Kheri katika Maisha yake na...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta...
Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha.
Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia.
Umeona...
Huyu dogo umaskini ulikuwa haki yake na haki yake kabisa.
Kukaa kimya watu wakufikirie bado unajikosha mbele ya maumivu ya watu walionyanyasika kwa kila aina ya maumivu.
Kwa sasa dunia nzima...
Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari...
Wakulima wenye hasira nchini Ugiriki wanaandamana kutokana na kucheleweshwa kwa fedha za kilimo. Wamepeleka maelfu ya matrekta na malori barabarani, wakizuia barabara kuu katika maeneo mbalimbali...
Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka...
Nimewaza tu kwa Sauti, hiyo nguvu ya Sauti na influence aliyonayo angetumia kuwatafutia Wana michongo ya kazi huko ulaya lingekua jambo la maana sana
Angetafuta namna ya kuwakonekt wenye hizo...