Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa siku kadhaa nimekuwa nikinunua maji kwa Sh 2,000 kwa dumu nikiwa Salasala nimempigia na rafiki yangu yupo Mbezi Beach kwa Komba changamoto ni hiyo hiyo. Hali hii imenifanya nihisi kama...
6 Reactions
61 Replies
1K Views
1️⃣ >Jua kwamba sasa umepata uhuru ambao ukiutumia vibaya basi maisha yako yanaenda kuharibika mara moja. Kuna wengine mmekuwa salama kwa sababu mlikuwa mkiishi kwa wazazi na walezi wenu hivyo...
34 Reactions
245 Replies
3K Views
Mei 2021, msanii wa Kiitaliano Salvatore Garau aliifanya dunia kushangaa baada ya kuuza sanamu isiyokuwepo kabisa, iliyopewa jina “Io Sono” (Mimi Nipo), kwenye mnada wa Art-Rite huko Milan...
4 Reactions
19 Replies
527 Views
Salaam, Shalom!! INTRODUCTION (Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3) MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI. Mwili una...
23 Reactions
55 Replies
7K Views
Mko poa? Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za Kitanzania, na hii ndiyo orodha yangu ya top ten ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania: 1. Wasukuma 2. Wanyakyusa 3...
23 Reactions
139 Replies
9K Views
October 29 shule za Msingi na zenyewe zilitakiwa zichomwe moto kama zilivyochomwa Vituo vya mwendo kasi, Shule nyingi za Dar ni mbovu zimechoka sana yani chakavu kama zingechomwa Moto na zenyewe...
3 Reactions
9 Replies
389 Views
Habarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa...
6 Reactions
53 Replies
954 Views
Vijana wa siku hizi hawasomi vitabu kabisa. Unakuta kijana iwe chuoni au sekondari anatumia simu kutafuta material na anaona sawa. Vijana wengi wananiambia wanajisomea nyumbani kwa kutumia simu...
3 Reactions
34 Replies
609 Views
Kweli mpo tayari kufungiwa ndani hadi Christmas?? Kisa harakati za kisiasa? Aah hapana, mimi binafsi napinga kwa nguvu zangu zote hili jambo kwa siku hiyo. Hebu tuache sikukuu ipite kwa amani...
3 Reactions
32 Replies
691 Views
Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Desemba 9 darasani, aachiwa kwa dhamana Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa...
2 Reactions
5 Replies
384 Views
Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza. Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian. Ukandamizaji wa...
3 Reactions
10 Replies
309 Views
Sasahivi wanaotamba mjini ni wale wenye nyumba zenye visima. Yaani wakati watu wanahangaika na foleni ya madumu wao wanaoga kutwa mara mbili mpaka tatu, wanafua kila siku na wengine hadi maua...
5 Reactions
8 Replies
466 Views
Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee . Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
5 Reactions
12 Replies
416 Views
Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa. Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni Eti labda system. System gani hiyo ya...
8 Reactions
22 Replies
732 Views
Ndani ya jahazi la kusadikika, Lenye uelekeo usiojulikana Wadada kwa wakaka, wamebaki na bumbuwazi. Nahodha wa chombo hayupo wazi Ile dira iliyokuwa mezani Imeponyoka katoa matanga Kashona dera...
7 Reactions
11 Replies
422 Views
Sasa hivi ukiomba safari ya ndege JNIA - KIA kwa ndege za ATC utakutana na ratiba ya ajabu. Kuna ndege 3 tu: ya saa 11 asubuhi, ya saa 12:40 jioni na ya Saa 3 usiku. Hakuna tena ndege ya za saa...
1 Reactions
3 Replies
355 Views
Ni hali ya kusikitisha kwamba, licha ya historia yake yenye mafanikio katika elimu, mapenzi makubwa katika elimu, jitihada, uwezo wa kipekee, na mchango mkubwa katika kuzalisha wasomi, Kagera bado...
1 Reactions
22 Replies
645 Views
Wakuu kwa heshima ya dhati kabisa poleni na majukumu na mahangaiko ya leo. Kuhusu msiba huo sio wa Watanganyika bali ni msiba wa wanaccm na Police wao sisi hautuhusu na haujatusitua kwa lolote...
20 Reactions
58 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…