China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu...
Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa...
China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China...
Hivi karibuni matukio ya mapolisi kufariki yamekuwa mengi sana tanzania. Sijui kama na nyie mmegundua au nimeona peke yangu tu.
Yaani ukiingia mtandao wowote ule iwe instagram, x zamani twitter...
Udharimu unaofanywa na Police leo hii haukuanza leo ulikuwepo enzi na enzi .
Yohane mbatizaji akiwa anaendelea na ubatizo pamoja na mahubiri mtoni yordani walikuja watu kadhaa wa kadhaa...
Eze 18:27 SUV
[27] Tena, mtu mwovu atakapoghairi, na kuuacha uovu wake alioutenda, na kutenda yaliyo halali na haki, ataponya roho yake, nayo itakuwa hai.
Kila mmoja anawajibika kwa Mungu kwa...
Tunajua mnapambania ugali wenu ila hii vita yenu na serikali ni ya hovyo.
Kwa sasa mnasema waliouwawa ni 10,000 kutoka elfu moja ( 1000) mnadhani binadamu ni sisimizi. Idadi hii hata kwa kiziwi...
Kosa kubwa la Wakosoaji na Wapinzani wanalofanya ni kujaribu kuua nchi ya Tanzania na sii kuitunza kwa kigezo cha ukosoaji
Kumbukeni kuwa nchi ya Tanzania haina tofauti na ziwa la mama zenu...
Huyu kaka yake Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ndio maana serikali ya CCM mafwere iwezi kuzungumza chochote wala kujibu.
Wakijibu ni kama wanamgusa mwewe na malikia marehemu.
kwa sasa wabaki...
<Ujenzi wafikia asilimia 85,
<Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la...
Mdau mmoja akiwa nchi za nje ameshangazwa na namna ubora wa miundo mbinu ilivyo huko Ulaya, licha ya kwamba hakuna Rasilimali za kutosha ukilinganisha na nchi za Africa.
Amesema kuwa nchi nyingi...
Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!
Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi...
Leo nilipita chuo kimoja mjini kumpitia mdogo wangu twende Kilimanjaro kula sikukuu.
Wakati nimepaki viunga vya chuo akaja na wenzake Kama watatu hivi kumbe walikuwa wanamalizia ku discuss...
Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala.
Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga.
Udogo...
Ina maana polisi wamekuwa daraja ambalo wao ndio mahakama sasa,walikuwa wana jificha ia wapo wazi.
Wanaweza kukamata mtu bila kumpa maelezo kosa lake,wakakushikiria watakavyo,wakaomba pesa kama...
Kama mnavyojua /ona makaburi mtu akizikwa yanakuwa yameelekezewa upande mmoja kama ni kusini kusini mashariki mashari je!kwa mfano makaburi sasa yameelekea mashariki ki marehemu wangu...
Tafadhali, tumesikia tangazo kwamba mnataka kujenga mfumo wa reli kuzunguka DSM nzima, binafsi sijaelewa wanajenga mitaruma ya mireli ili tuwe na tram zinazotembea kwenye makokoto katikati ya mji...
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Mhe. Reuben Kwagilwa, amepata ajali majira ya saa tisa usiku katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma.
Ajali hiyo imetokea...