Utajiri na umasikini vyote vinaanzia kwenye mawazo. Matajiri huamini kwenye wingi. Na masikini huamini kwenye uhaba.
Kuna madaraja matatu hadi manne ya viwango vya pesa na mali.
Kuna daraja la...
Taifa letu linapitia kipindi kigumu, kikiwa na changamoto nyingi β nyingine zikiwa hazijawahi kushuhudiwa tangu kupata uhuru. Majeraha haya ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa yanahitaji uponyaji wa...
Dereva wa Kampuni ya Usangu ametekwa huko Kongo.
Kwanini Serikali ya Tanzania inakalia kimya hivi vitendo? Kazi kutangaza Bandari ya Dar, lakini Watanzania wakitoa mzigo Dar kupeleka Congo...
Wakati mitandao hutuambia kuwa tajiri mkubwa kuliko wote hapa TZ ana trilioni 5, basi fahamu kuwa hizo trilioni 5 unajumlisha na zingine mbili ziwe saba, hizo kodi ya "machalii" wanne Waisraeli...
Kuna mawazo ambayo hayazaliwi kwa makelele ya mikutano, bali kwa ukimya wa tafakuri ndefu. Mimi nimefikia hatua ya kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa ya Tanzania si ukosefu wa rasilimali, wala...
Shule ya Msingi Mbosho, Iliyopo Kata Ya Masama Kati, Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro.
Hii shule ni mbovu kiukweli ina ufa kila sehemu inavuja maji ndani. Naomba mtusaidie kwa hili.
Shule Ya...
1. Kwanini ulimwengu unaonekana umetengenezwa mahsusi kwaajili ya kuishi?
Constants za fizikia kama gravity, strong force, proton mass n.k. ziko sahihi mno.
Kwa nini kila kitu kiko "timing" ya...
Naamu
Hakuna Msiba unaokosa Matanga na ukiona Moshi ujue kuna Moto Utawaka au Umewaka.
Bado Watanzania tupo katika Majonzi ya Ndugu zetu waliopata Maafa ya D29 ambapo ni masikitiko makubwa...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepata changamoto kwenye mfumo wa umeme karibu na Stesheni ya Ruvu mkoani Pwani, hali iliyosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha nchini.
Akizungumza...
Huwa nashangaa sana kuona waajiriwa wengi wana maisha ya nafuu wakati wao ilibidi waishi kitumwa
walioajiriwa hasa serikalini wengi wana uhakika wa milo mitatu, kusomesha watoto hadi vyuo...
Salaam ,shalom!
Hii ni habari njema!!
GOOD NEWSπ π₯π₯ππ
Asomaye na afahamu,
Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi.
Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo...
DRC kuna changamoto sana hasa kwa Madereva wa Malori. Faw za Ally's zimekula Mawe trip Ya Kwanza..
Je, atahama Route?
Je, Wafanyabiashara wa Malori wanafaniana hujuma?
WACHACHE WANAONGOZA NA WENGI WANAFATA.
Ukiangalia jamii kubwa ya leo duniani ipo ilivyo sio kwa bahati mbaya ila kwa mipango ya watu fulani wachache.
Mambo yote ambayo binadamu anayahitaji ili...
Umetoka zako nyumbani unga umeisha, mkaa umeisha, mchele umeisha, kazi huna japo una degrees zako
Huja kaa sawa katoto kanaumwa
unaona acha nitoke nitembee tembee huko nje kutafuta vibarua ili...
Enyi watu weusi kataeni porojo za waarabu na wazungu. Nendeni mkahiji vijijini kwenu huko huko Chididimo, Nanjilinji, Kagongwa nk. Huko ndiko kuna baraka sio kwa waarabu wala wazungu.
Nenda...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, amesema baadhi ya vijana wanapoteza mwelekeo wa imani kwa kuyumbishwa na tamaa ya umaarufu, pesa na mahitaji ya maisha, akionya kuwa...
Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023
Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu...