Murder anaunda tume ili imechunguzee yeye kwamba watz hatuna akilia au ni vichaa ??
Alietoa amri ya kupigwa risasi ni raisi inakuaje muuaji anaunda tume yakumchunguza maujia yake ilihali anajua...
Twende Direct kwenye hoja/Topic.
Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi...
IKO HIVI ......
1. SCENARIO 01
Tumeite John.
John ni...
Jioni, sebuleni kwenye nyumba ya kifahari. Baba anasoma ripoti. Anord anaingia kwa heshima.
ANORD:
(Anakohoa kidogo) Kama sio kuhusu gari lingine au pesa ya ziada
BABA (MKURUGENZI WA TAASISI)...
POLISI, MAGEREZA, ASKARI WA MBUGA, n.k.
Kwangu wataishia kuwa marafiki wa kujuana kidogo, kupiga vistori vya kupoteza muda na kuwatumia iwapo kuna hitaji connection au msaada wa haraka.
Kuwa na...
Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa.
option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao.
wajomba...
Simaanishi kuwabeza marafiki, Hapana !! Maisha yetu kwa kiasi kikubwa tunazungukwa na watu wa nje hivyo katika haya mazingira unaweza kuwa na marafiki shuleni, Vyuoni, Mitaani, kazini, Bar...
Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine.
Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho.
Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili.
Wakuu...
Hadharani una furaha, sirini unalia.
Hadharani ni maarufu, sirini ni mpweke.
Hadharani ni jasiri, sirini mnyonge.
Hadharani una hekima, sirini ni mjinga.
Hadharani ni mwema, sirini ni mwovu...
Mimi navyo fahamu,watu ambao wameshafika kuandika vitabu wanauwezo wa maarifa kuyatumia.
Ila hapa tanzania ni tofauti asilimia kubwa mfano Yeriko nyerere hata ujasusi wenyewe hawezi.
Sasa huyu...
Hili dubwana linaloitwa TEC Lina mambo mengi sana nyuma ya pazia Hadi inafika wakati mtu unashindwa kuelewa hi TEC iliundwa Kwa ajili ya dini au kazi nyingine ambayo sisi hatuijui
Nilipopata...
Wakuu habari za jioni hii.
Hili ni andiko huru kwa watu huru, wa jinsia zote, na mlengo ni kuwekana huru kifikra.
Mwanaume tokea Karne za nyuma anafahamika kuwa na sifa za uongozi kwenye Dunia...
Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani.
Hata...
Yale mambo sijui nyerere aliweza kufanya kwa kificho kuweka usalama wa taifa anaotaka kwa sasa yamepitwa na wakati ndio matekeo ya leo yani hata magaidi yalivyoingia mkuranga wao walikuwa wapo...
Ofisi nyingi ni lazima uingie kwa kunyeyekea na kujishusha sana na ikiwezekana utoe hata kitu kidogo, Muajiriwa anakuwa kama mfalme wa kukuamulia na hauna budi kuwa mvumilivu, ni yeye ataamua kazi...
Kwa mfano paah kila mtu atoe hela zake bank azishike halafu tupige hesabu kati ya hela za raia na zile zilizo bank kuu za serikali zipi ni nyingi zaidi?
Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi
Katika biblia mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wote, ni Methusela, mwana wa Henoko aliyetwaliwa na Mungu.
Biblia inasema Methusela aliishi miaka 969, na...
Jumanne tulimchangia Catherine (mdogo wake Baraka) kiasi cha TZS 15.6M ili kimsaidie kumalizia elimu yake CBE na pia kiweze kusaidia familia yake na kumsaidia Baraka mwenyewe ambaye alivunjwa...