Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Binafsi kwa mawazo yangu naona ni ubabe wa watawala kwamba utafanya nini, ndani tunakuweka na kesi haisikilizwi mpaka tutakapoamua wenyewe. Hii dhambi kiukweli itakuja kuwatafuna sana. Madaraka...
5 Reactions
6 Replies
465 Views
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na...
108 Reactions
383 Replies
30K Views
Serikali: Dawa ya Loliondo ni salama Send to a friend Monday, 28 March 2011 21:50 0diggsdigg Waandishi Wetu SERIKALI imesema imeridhishwa na dawa inayotolewa na Mchungaji Ambilikile Masapila wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule 109 za msingi na sekondari, Halmshauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, wanalazimika kukatisha masomo kila mwezi wanapokuwa kwenye kipindi cha hedhi...
0 Reactions
2 Replies
232 Views
Habari Wadau.. Wote tumeguswa na msiba wa tajiri wetu mweusi Mr. Mengi aliyekuwa anaenda level zisizopishana sana na Watanzania weupe Wasifu wake unaonesha hata yeye hakukanyaga chuo kikuu chetu...
14 Reactions
215 Replies
33K Views
"There is no SYSTEM that has been designed to ensure that all PEOPLE succeed. You either beat the system or the system will beat you." When you look at the struggles of life, some people wants to...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Anthony Kasore amesema kuwa sio tu wenye Shahada ya Awali, hata wenye elimu za juu zaidi kama vile Shahada ya Uzamivu (PhD)...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Ifahamike CV ya Elimu ya Kassim Majaliwa ni hovyo na ya kuunga unga tu kwahio sio ajabu kutoa wazo hilo kuhusu wahitimu wa shahada za vyuo vikuu kwenda VETA. Kujadili ushauri wa kipuuzi na wa...
23 Reactions
72 Replies
5K Views
Watu wengi hutofautiana katika namna ya kujiwekea malengo—wapo wanaoanza kupanga kabla mwaka haujaisha, wakitumia muda kutafakari yaliyopita na kujipanga mapema, na wapo wanaosubiri Mwaka Mpya...
0 Reactions
4 Replies
222 Views
Mimi ni muislamu. Uislamu hautaki mtu dhaifu Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu. Tusiangushane. Hatuna muda mwingine zaidi ya huu. Tukipoteza...
3 Reactions
24 Replies
657 Views
Nimeona hii clip ya mchekeshaji Crazy Kennar, inaakisi hali halisi ya jeshi la Polisi ambapo askari wamejikuta wakiwatumikia wanasiasa kufanikisha mambo yao huku lenyewe likiendelea kulalamikiwa...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
Shule Ya Msingi Mbosho iliyopo kata ya Masama Kati Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ni miongoni mwa Shule kongwe zilizopo Wilayani Hai. Kwa Sasa Shule hii Inakabiliwa na Uchakavu Mkubwa wa majengo...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
Binafisi nipo interested sana na kilimo na ufugaji sijawahi kujutia. Kitu kinachoendelea kunishangaza zaidi ni huu ufugaji wa njiwa kwa nchi za kiarabu. Huwa najiuliza hawa jamaa lengo lao ni...
2 Reactions
18 Replies
554 Views
Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia...
13 Reactions
83 Replies
1K Views
Na hamna tangazo na wala hamsemi shida ni nini?
2 Reactions
7 Replies
292 Views
Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana...
7 Reactions
66 Replies
997 Views
1. Aanguaye huanguliwa. 2. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu. 3. Abebwaye hujikaza. 4. Adhabu ya kaburi aijuae maiti. 5. Adui aangukapo, mnyanyue. 6. Adui mpende. 7. Adui wa mtu ni mtu. 8...
5 Reactions
11 Replies
6K Views
Mtandao wa Signal umefungwa Tanzania Hivi sasa unafanya kazi nje ya nchi ya Tanzania lakini kwa watumiaji wa Tanzania wanapotuma meseji au Call zinashindwa kufika
2 Reactions
34 Replies
902 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…