Katika Matajiri wetu 10 wa juu Tanzania, hakuna aliyesoma Chuo Kikuu ndani ya nchi! Uchumi wetu unategemea elimu za nje, kwanini?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,515
Habari Wadau..

Wote tumeguswa na msiba wa tajiri wetu mweusi Mr. Mengi aliyekuwa anaenda level zisizopishana sana na Watanzania weupe

Wasifu wake unaonesha hata yeye hakukanyaga chuo kikuu chetu ..

Na hapo hapo akapata akili ya kuwa tajiri na industrialist mkubwa sana...

Je, elimu yetu ipo sawa kweli?

Kwanini washika uchumi hawasomi elimu yetu
 
Maprofesa wa Tanzania ni hao kina Kabudi, Mkumbo, Mwakyembe, Dr. Bana n.k yaani hawa wanafiki na wachumia tumbo ndio wamfundishe mwanafunzi awe milionea wakati hata wao wanategemea kumsifia magufuli ili wapate kuendesha maisha yao...
 
Elimu ya ndani ndio kina mdee.
 
Wewe umesoma wapi? Au uko India unasoma ili uwe tajiri?
 
Maprofesa wa Tanzania ni hao kina Kabudi, Mkumbo, Mwakyembe, Dr. Bana n.k yaani hawa wanafiki na wachumia tumbo ndio wamfundishe mwanafunzi awe milionea wakati hata wao wanategemea kumsifia magufuli ili wapate kuendesha maisha yao...
Hili haswa ndilo jibu sahihi, wakufunzi wetu wenyewe wana stress mpaka kwenye ukucha unategemea atoe elimu ya kumfanya mwanafunzi awe millionaire??? Mfumo wa elimu yetu ni mbovu sanaaaa, sasa kama mimi mwenyewe nimesoma kwa taabu then nikapata GPA ya kunibakisha chuoni kama tutorial then najiendeleza hadi PhD nakua senior lecturer naachaje kulamba matako ya kina Makonda ili niendelee kuishi... Hata mie Mungu akiniwezesha hiki nachokifanya now kikazidi kukua hakika watoto wangu chuo hawatasoma bongo hapa
 
Habari Wadau..

Wote tumeguswa na msiba wa tajiri wetu mweusi Mr. Mengi aliyekuwa anaenda level zisizopishana sana na Watanzania weupe

Wasifu wake unaonesha hata yeye hakukanyaga chuo kikuu chetu ..

Na hapo hapo akapata akili ya kuwa tajiri na industrialist mkubwa sana...

Je, elimu yetu ipo sawa kweli?

Kwanini washika uchumi hawasomi elimu yetu
Hebu fafanua, una maanisha hakusoma bongo au udsm? Mengi ni ACCA holder ambayo kihasibu ndio highest qualification (locally ni CPA) na alikuwa partner PWC hivyo kielimu amesoma vizuri tu labda umemaanisha kupita mfumo mliozoea.
 
Ni vile tu watu wa miaka hii hamjui au mnasahau hali halisi iliyokuwepo hapo nyuma hasa 1968-1985 baada tu ya Azimio la Arusha, Taifisha taifisha mashule, mali za watu.
A. Siasa ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA Japo ilikuwa na manufaa makubwa na mengi hasa kwa wananchi maskini na wanyonge LAZIMA TUKUBALI GHARAMA ZAKE

B.UJAMAA:
1. Uliuwa kabisa elimu BORA na ya kimataifa na watu kufundishwa umaskini(ujamaa)

2. Uliuwa kabisa dhana ya UJASRIAMALI ndio hao mamilionare unaowasema watu kufundiswa utumwa wa kijamaa

3. Bila ujasrimali usiegemee kutajirika , kwa asili watazania kupitia fikra walizojengewa NI MASKINI na wanawachukia Matajiri,

4. Kama wewe ni maskini na unamchukia mwenye mali sio kuwa Una mtamani (admire) Usitegemee kamwe kupata mali.

5. KUKOSEKANA UJASRIAMALI kwa viongozi wetu ni mojawapo wa chanzo cha taifa kutapeliwa kupitia mikataba n.k pia kuendelea kutoa sera zinazouwa uchumi na ujasriamali.

Baada ya kipindi hicho yaani kwa sasa mm naamini elimu yetu iko vizuri sana bado tu fikra za jamii ndio ziko nyuma

Hasa ukiangalia taaluma za kibiashara na ujasriamali Power Point slides na Video Lectures zote ni vile vile za Harvard , Cambridge, Stanford, Yale, na vyuo vingine maarufu duniani wanafanya ku modify tu kdg kwa mazingira a nchi husika pote ulimwenguni
 
Me kwa upande wangu nafikili kua hao matajiri walio soma nje walicho kipata hulo nje ni "zaidi" ya elimu
huko nje kuna mambo mengi zaidi ya tunavo fikilia,
Tatizo mimi ni mzembe wa kuandika ila naweza andika mambo mengi sana hapa
any way siku nyingine ntajalibu andika
 
Hebu fafanua, una maanisha hakusoma bongo au udsm? Mengi ni ACCA holder ambayo kihasibu ndio highest qualification (locally ni CPA) na alikuwa partner PWC hivyo kielimu amesoma vizuri tu labda umemaanisha kupita mfumo mliozoea.
sa hiyo acca si ya nje? elimu ya bongo aliishia o level tu akaenda scotlnd kujiendeleza na ndipo alipopata exposure kubwa miaka hiyo bongo giza totoro hata cpa T ilikuwa bado
 
Sasa mtu alishatajirika kabla hajasoma chuo kikuu asome chuo nchini kwa sababu gani. Hao tayari wanamapesa akisoma huko nje hata akifeli anakuja kwenye makampuni na mabiashara yao maana mitaji wanayo. Sasa wewe na first class yako ya bongo bado unarudi kusota unasubiri ajira ya JPM.
 
Back
Top Bottom