Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo...
Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying.
Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group.
Iko hivi.
Blood group ziko 4.
A au AO
B au BO
AB (au A na B)
O...
Ni siku za mwisho wa mwaka huu wa 2024, kila mmoja wetu ana fanya tathimini yake binafsi, familia jamii na hata taifa kwa ujumla.
Kila kunapo pambazuka hatukosi jipya la kujifunza, ikizingatiwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetangaza kupiga marufuku vitendo vya uchomaji wa matairi wakati wa sherehe za kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026, likisisitiza kuwa litachukua...
Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh...
Hiyo Marekani inayozuia watu kuingia ni ipi? Ni hii inayotetea ulawiti au nyingine?
Kosa kubwa wanalofanya Marekani ni kuamini kuwa wao ni Watakatifu sana, hawakumbuki kuwa wanaishi na laana ya...
Yaliyotokea October 29 wanashindwa kufanya wajifiche vipi ili dunia wajue kuwa tanzania ni ya amani.
Heka heka za mkesha msipo kuwa makini mtajikuta kwenye Tume na kusema imechunguza sana.
Habari za mchana wakuu,
Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya...
Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh...
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.
Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List
Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad...
Tangu jana kuna maandamano ya kupinga mamlaka ya IR
Uchumi umekuwa mkali mnoo lakini zaidi manyanyaso ya agents wa ayatollah ni ya kiovu sana.
Its funny kwamba iran ina pesa ya kufadhili jihad...
Leo tarehe 30 Desemba 2025, Mimi, Wakili Mzee Mpale Mpoki, na Wakili Hekima Mwasipu tulikwenda kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, katika Gereza la Ukonga. Yu katika hali ya afya...
Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara...
FAMILIA YA WAHHABI NA NGUVU YA ILLUMINATI KWENYE DINI YA KIISLAMU ILI KUTIMIZA MALENGO YAO.
Illuminati walikuwa hawamtaki tena Shah, na Khomein ndiye aliyekuwa kibaraka wao mpya. Akiwa hapo...
Utangulizi: Je, Unatamani Kwenda Dubai Kufanya Kazi? Fikiri Tena!
Kila siku kwenye mitandao ya kijamii kuna video na picha za maisha ya kifahari Dubai — magari ya kifahari, majengo marefu, maduka...
Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia?
Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo...
Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya,
Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka
Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi...
Wakuu, umofia kwenu!
Nimepata kazi kwenye Private - NGO ambayo take home ni 3Mil kwa mwezi. Nataka niache kazi Serikalini ninakolipwa laki 9 (Kabla ya Makato) kwa mwezi. Niko kada ya afya hapa...
Wakuu,
Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo...
Zamani watu waliokuwa wanaishi Mwanza walikuwa na hali ya amani na upendo wa juu.
Watu wa maeneo ya Mwanza ya zamani walikuwa wakifahamiana karibu kila mmoja. Mfano vijana wa kirumba ,kitangiri...