Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu.
Tumefanya jitihada...
Mkuu wa Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa kutoka JamiiAfrica, Innocent Mangu anafafanua umuhimu wa Elimu ya Uthibitishaji Taarifa pamoja na upatikanaji wa Taarifa Sahihi kuwa chachu ya...
Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Denis Ogesa (28), mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa tuhuma za kuvunja, kuingia na kuiba fedha katika benki ya Azania, tawi la Namanga wilayani Longido.
Ogesa...
Uzandiki ni hali ya upotoshaji wa habari wenye lengo maalumu.
Mara nyingi uzandiki hutumika kuyumbisha utawala wa nchi adui.
Pia uzandiki unafanywa na watu au kikundi ili kuchongqnishq nchi...
Katika harakati za kupigania uhuru, Monwabisi Kwanda Mbeki alikimbilia Tanzania kama uhamishoni ili kuwakwepa makaburu kule Afrika Kusini.
Monwabisi Mbeki akaja Tanzania hasa maeneo ya Morogoro...
Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo...
DODOMA: Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amewataka wadau wote wanaosimamia ujenzi wa Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Msalato kushirikiana ili ujenzi huo ukamilike ifikapo Mei mwaka...
KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE !
Sehemu ya pili
( DOGOLI KINYAMKELA ☠️ 💀 (Dr)
Ukweli ni kwamba Nyota haiibiwi, nyota inadhibitiwa/inachafuliwa/inafunikwa au inamalizwa nguvu na wewe...
Najua alitangaza NIA kugombea ubunge kupitia CCM kwa lengo la kutaka aonekane.
Haya tumeisha mwona yupo na juzi alikufukuzwa KAZI na Ally Kiba mzaramo wa mwanalumango yule.
Namwombea ajira tbc1...
Foleni ya kutoka Mbagala Kizuiani kwenda Mbagala Rangi Tatu ni foleni ambayo haina ulazima kama askari wataamua kusimamia.
Unakuta muda askari wapo tu na vyanzo vya foleni wanaviona ila hawana...
Tafadhali husika na mada apo juu mm ni muungwana ambae natamani kupumzika mchana siku nikiwa sina pirika ila naishia tu kukaa kitandani bila kupata usingizi hii hali inanisumbua sana ila usiku...
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bw. Wang Yi, amemaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, kitu ambacho ni sehemu ya desturi ya miaka 36 sasa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara...
JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako.
NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)...
Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia,
Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo!
Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu...