Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unakuta hakuna mikataba ya ajira, likizo haijulikani, na ukihoji unaambiwa ‘mlango upo wazi’.” Wanaajiri kwa kuahidi mishahara mikubwa, lakini wanakupa pesa nusu na matusi kamili. Wengine...
2 Reactions
3 Replies
463 Views
Yaani unaamka halafu hauna mishe zozote au mishe ulikuwa nazo zinegoma aisee inapain sana. Nilipitia hii hali basi bwana nilipopanga chumba unaona vyumba vya majirani zako Wanaamka Mapema...
94 Reactions
216 Replies
10K Views
  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa . Mfano wewe upo DSM na ni introvert unabidi kukaa maeneo Fulani ambayo hayana kelele , ambayo hayana watu wengi. Ukija katika Usafiri , ikiwa...
26 Reactions
112 Replies
4K Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Habari wana jamvi...? Nikiwa high school pale mkoani Simiyu wilaya ya maswa MWAKA 2018 kuna tukio lilitokea na mimi kama kiongozi wa dini sikulipenda kabisa hii ilinifanya nikawa na mzozo na chair...
5 Reactions
32 Replies
642 Views
Hii ni real kabisa, Ndugu ni wezi,wanafiki,masintch, wazembe,wasiopenda mafanikio yako,wadokozi,hawajali chochote kuhusu wewe na fedha zako...nk Ata ukimtafutia kazi sehemu kuna asilimia kubwa...
5 Reactions
19 Replies
342 Views
Mzee wa dungu jeshi shavu kilema mwenye ngebe, nyodo, madharau, majigambo na majivuno katinga bongo jana na mkwara mbuzi wa mabodyguard uchwarwa. Kayngay huyo mwenye makazi yake uingereza na...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connection. Sijui freemason sijui nini. Hayo yote yanatokea baada ya kuchukua maamuzi tu. Wewe jaribu kuchukua maamuzi kwa kile...
12 Reactions
30 Replies
659 Views
Anonymous (ca63)
Mimi naitwa Matson Mathias Ngonyani ni Baba wa Watoto wanne na nina ulemavu wa masikio, kitaaluma ni Afisa Muuguzi niliajiriwa na Wizara ya Afya Mwaka 2019 kisha nikahamishiwa Baraza la Uuguzi na...
10 Reactions
41 Replies
1K Views
Katika familia yetu tulikuwa vijana wengi sana, hata tulipoanza safari ya masomo tulianza sote na kumaliza kwa pamoja. Kila mara nilikuwa nachelewa kufika shule na kuadhibiwa. Maonyo yalikuwa...
6 Reactions
9 Replies
370 Views
MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀. MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani aliyemdanganya Mtu pale...
6 Reactions
17 Replies
430 Views
Changamoto ni nyingi sana unazozipitia. Kuanzia kwenye familia yako ,kazini kwako na pia hata kwenye mahusiano yako. Na pia labda una changamoto ya kiafya ya muda mrefu inayokutesa kiasi...
9 Reactions
18 Replies
635 Views
Ndugu na mdau wa jukwaa hili ninatumia nafasi hii kuwasilisha wazo langu la biashara kwa mwaka huu wa 2026, nikiwa na matumaini ya kupata mrejesho, ushauri wa moja kwa moja, na hasa mawasiliano ya...
2 Reactions
4 Replies
405 Views
Leo asb Hamisi Kigwangalla ameliamsha tena huko Instagram suala la uaminifu wa watanzania. Amehadithia alichofanyiwa na kijana aliyemuamini. Huko nyuma amewahi kuuliza WHAT IS TANZANIA'S...
18 Reactions
114 Replies
13K Views
Anonymous
Kuna uozo Mkubwa sana unaendelea Tamisemi kupitia halmashauri zetu Kuna pesa za idara OC Zinaliwa juu Kwa juu haziwafikii wahusika. Kuna ukiritimba mwingi sana Imagine HR wa Halmashaurj anasema...
3 Reactions
6 Replies
281 Views
Anonymous (6198)
Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko...
2 Reactions
12 Replies
595 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…