Moto mkubwa umezuka muda huu katika ghorofa la National Social Security House lililopo karibu na Mnara wa Askari, Posta jijini Dar es SalaamTayari Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limewasili eneo la...
Tutaendelea kusherehekea vifo vya Viongozi, Makada wa ccm na askari polisi na wasanii
Hawa ndo maadui zetu wakubwa, maadui wa utu, makhabithi wakubwa
Mungu atazidi kuwaangamiza usiku na mchana...
Habari ndugu zangu,
Hii ni mchakato ambapo serikali au benki kuu inabadilisha thamani ya uso (face value) ya sarafu bila kubadilisha nguvu ya ununuzi halisi (purchasing power). Kwa kawaida...
Ripoti za vyombo vya habari vinavyoaminika zinaonyesha kuwa runinga ya serikali ya Iran ilionyesha ujumbe uliotajwa kama njia ya tishio dhidi ya Donald Trump ikisema βSafari hii risasi haitakosa...
π Kuibua Upya Kariakoo: Kutoka Soko la Jadi Hadi Kitovu cha Biashara ya Kidigitali Afrika
Kwa muda mrefu Kariakoo limekuwa moyo wa biashara nchini Tanzania, likihudumia si Dar es Salaam pekee...
Kuna Padre Askari Komando, Architect, muhadhiri wa chuo kikuu alipata umaarufu sana kwenye vyombo vya habari miaka minne iliyopita.
Anaitwa Dr. Henry Rimisho.
Jamaa ukisikiliza wasifu wake wa...
Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na...
Je unajua AKILI ndiyo kiunganishi kikubwa kati ya kile
Tunachoamini (imani/Roho)
Kile tunachofikiria ( akili)
Na kile tunachofanya ( mwili)
Namna unavyofikiria huathiri maamuzi na maamuzi...
My people,
Tuhuma Zilizoripotiwa, Mijadala ya Kimaadili, na Maswali Kuhusu Unabii wa Kisasa
Jina la TB Joshua, aliyekuwa kiongozi wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) nchini...
Yaani hapa ndege zote zinazofanya safari kati ya ulaya na Asia mashariki zinaikwepa anga ya Iran kama Ukoma yaani.
Hapa hakuna shirika la ndege lita risk ndege yake iruke kwenye anga la Muajemi...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo.
Soma pia: Dar, Jengo la...
Je, unatafuta mwalimu bora wa home tuition kwa mtoto wako au kwa ajili yako binafsi?
Sisi tunakuletea huduma bora, salama na za uhakika katika mikoa yote ya Tanzania
HUDUMA ZETU
Tunatoa Home...
Mwanzoni sikukitilia maanani kitambulisho Cha nida lakini baada ya kuona umuhimu wake nimeamua Leo nikakifuatilie
Nimeenda kwenye ofisi ya mtendaji nimepewa fomu zote mbili nimejaza
Mtendaji...
Kuna tukio moja lililonitokea nikiwa ndani ya daladala ambalo sitolisahau kamwe. Siku hiyo nilikuwa nikirejea nyumbani jioni baada ya shughuli za mchana. Daladala ilikuwa imejaa sana, watu wengine...
Ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi Duniani ijulikanayo kama Mei Mosi Mdau wa masuala ya Kijamii na Maendeleo ambaye Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania...
Watoto ambao umri wa kwenda shule kutoka wilaya ya Ngara wamejazana kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini haswa ya kanda ya ziwa, wengi wao ukiongea nao wanakwambia hawajamaliza hata darasa la saba...