DODOMA; SPIKA wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan ‘Zungu’, amesema Baba Levo limethibitishwa ni jina rasmi la Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando.
-
Spika Zungu ametoa kauli hiyo...
Wakiwa na pesa huwa wala hawawakumbuki. Wanatamba na kuonesha jinsi ambavyo wanafaidi maisha na nyie sababu wavivu mnataabika.
Daily wanapost wakila kuku, wakiwa dubai, china na ulimwenguni waki...
Kufuatia tuhuma zilizotolewa na Chama cha ACT Wazalendo kupitia mitandao ya kijamii kuwa aliyekuwa diwani wa Kata ya Nyamgali, Majaliwa Abbas Hamis, kifo chake kina utata na kwamba hakikutokana na...
Habari ya wakati huu!
Mimi ni miongoni mwa Raia mwema ninayepata huduma ya Umeme kupitia TANESCO maeneo ya Nzuguni A katika eneo la Mtaa wa Nunduru. Kutokana na utanukaji wa Jiji la Dodoma...
Kwa wakubwa wetu waliozaliwa miaka ya 1960-1970, maarufu kama baby boomers, watakuwa na kumbukumbu nzuri ya usemi maarufu wa enzi hizo, "Sex, drugs, rock and roll" ambao kimsingi ulikuwa ni wimbo...
Rais Samia amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha anapanda mti kwa lengo la kurudisha uoto wa asili na kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ili kuweza kuacha urithi kwa vizazi...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewakataza wananchi, hususan kina mama, kuhifadhi fedha kwenye matiti ikieleza tabia hiyo huharibu ubora wa fedha na kuilazimisha Serikali kugharamia kuchapisha mpya...
Hebu leo nielezee maana ya uchawi ( Occultism). Kuna baadhi ya watu ambao wakisikia neno uchawi basi nywele zinawasisimka kweli, maana tayari huanza kuona fisi bundi na hata ungo mbele yao– lakini...
Nasema kwamba Dar es Salaam hakuna waganga Kuna wafanya biashara na matapeli
Waganga wapo Huko vichakani vijijini ambao hawataki pesa mana wanaishi kwa kilimo na ufugaji
Laki moja kijijini ni...
Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Leo niko hapa Chicago downtown nafanya tour kwa njia ya you tube aisee ni pazuri sana sijapata kuona uzuri wa namna kama hii katika miji dunian...
Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na...