Mtaji wa kwanza kwenye biashara ni uaminifu. Ukiwa mwaminifu unaweza kuvumilika kwenye madhaifu mengine. Uaminifu ni bidhaa muhimu kuwa nayo kwenye biashara.
Nchi yetu bado ina uhaba mkubwa wa...
Hili ni swali linalohitaji ufafanuzi: kwa nini vijana waliyoitwa kwenye usaili wa Zimamoto kuanzia tarehe 15 Disemba 2025 hadi tarehe 20 Disemba 2025 hawakupata nafasi ya kwenda kwenye mafunzo...
Picha zote nilizotumia kwenye uzi huu ni za Kahama
Mimi sio mkazi wa Kahama ila huu mji unahitaji attention
Kahama ni mji unaokua kwa kasi na mzunguko wa hela upo vizuri kwa level za Kitanzania...
Kufuatia malalamiko ya wateja wa umeme wa Luku kuisha haraka katika matumizi, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limefanya ukaguzi wa kitaalamu na kubaini, tatizo hilo linasababishwa na mifumo...
Huu ni mwezi wa pili kwa wawekezaji kupitia UTT amis wengi hawawezi kuuza vipande vyao wala kuona taarifa zao kupitia application.
Awali walisema ni changamoto ya application hivyo unataka...
Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." π§ π«
π 1. VATICAN: THE...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, anadaiwa kukiuka maagizo ya Mahakama ya Rufani kwa kumrejesha mdai aliyeshindwa kesi katika eneo lenye nyumba, ambalo Mahakama iliamua kuwa mdai huyo hana...
Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi...
Unazaliwa, unaambiwa ujivunie ukoo wako. Unafundishwa historia ya babu zako, ukoo uliotoka, na majina makubwa ya familia. Lakini kadri unavyokua, unaanza kuuliza swali gumu: Mbali na jina, kuna...
Ukiwa ni mtu wa kuzunguka kikazi katika ofisi mbali mbali alafu ukiambiwa u-rate customer service utaishia kujikuta kati ya ofisi 20 ni 3 tu zinatiki.
Sijui ni msongo,
Sijui ni mazoea,
Sijui...
Naomba msaada kwa anayejua ntaweza kupata hotel au lodge ya Bei 15 hapa maeneo ya manzese anitajie Nina uhitaji mkubwa
Logde au hotel inayoanzia chumba 15 , naomba anitajie
Au naomba mnitajie...
Mimi huwa naleta nyuzi muhim ambazo zimegusa maisha yangu na kama una la kujifunza jifunze na huu uzi serikali pia iweke jicho kwa makini kuwa watu wanaopata Div 0 wanatakiwa kuangaliwa kwa jicho...
Wakuu, nimeona "mapovu" yenu. Eti dini siyo kikwazo? Eti Mungu anajua unachofanya? Acheni niwapasulie ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia:
1. UTAPELI WA VIAPO VYA VIONGOZI
Tunaona viongozi...
1979 wanawake wa iran wakishikilia picha ya ayatollah kwa shangwe.π
Hali ilizidi kuwa mbaya kutokana sera alizotoa ayatollah maana ziliminya haki na ustawi wao, hii ilepelekea wao kuandamana...
Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno.
Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada...
1. UTANGULIZI
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Sisi, kama, hapa nawasilisha malalamiko rasmi dhidi ya agizo la mdomo lililotolewa na Mhe. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, mnamo Januari 2026...