Wakuu this is my story.
Jamii tunayoishi bado haijafunguka na kuifungua akili mpaka mwisho wake. Kuna watu mpaka leo hii wanazichukulia powah course za online.
Mimi ni graduate wa shahada...
Anaendelea kusema:
"Ninaendelea kusema kwamba ni vigumu kuwa Cristiano kuliko kuwa Messi.
Messi alikulia katika timu anayochezea, pamoja na wachezaji wenzake anaocheza nao.
Cristiano alitoka...
Kila nikifikiria hili swala la Maduro kunyakuliwa usiku wa maanane ikulu ,basi bila shaka alikuwa hawaamini "My fellow county men" mpaka akaamua kuwakodisha wa Cuba kama Walinzi wake.
Sasa wa...
Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala.
Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la...
Na Mwandishi Wetu, Manyara
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amekabidhi pikipiki ya umeme ya magurudumu matatu iliyotolewa na Mati Foundation kwa binti mwenye ulemavu, Bertina Francis...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa...
Changamoto hii inasababishwa na nini?
Kiss FM
RFA
CLOUD FM
CAPITAL RADIO
RADIO ONE
TBC 1 N.K
Hizi ni moja ya radio zilizosikika vizuri sana iwe kwenye simu au radio yenyewe.
Radio zibgine...
Tunapaswa kumpongeza sana Muhamad ambaye alipopata Wahyi wa kuanzisha Uislamu alipambana sana. Kwa Jasho na Damu kuhakikisha Uislamu unakubalika watu wapende wasipende.
Kwa mujibu wa Qur'an na...
Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.
Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na...
Kuna majuha humu ndani wanapenda kuyatimba makusudi mawaya, halafu wanaanza kutafuta mahutupoti ya kujifunika. Mtu anakuja na ligazeti fulani analitandaza hadharani, mtu unamjibu kwa hekima na...
Mamilioni ya watu wanawazo la ujumla tu kuhusu Mungu, wao husema kwamba wanaimani katika Mungu, ingawa mara nyingi vitendo vyao huonyesha dai lao kuwa uongo. Nyakati fulani mmisionari mmoja...
Wakuu habarini..
Mimi nataka kuwasijili wake zangu wawili na NHIF.
Ila kinachonikwamisha ni kuwa, status inaniambia kuwa application zangu zote ni FAILED na sababu ni kwamba vyeti/namba za vyeti...
Kutokana na Taasisi ya ukatoliki ilivyokubwa duniani, inasababisha hadi masheikh wakubwa wa Dunia wakaripoti kwa papa na wapewe miongizo ya kuendesha dini zao.
Hii ni tahadhari kwa watu wenye roho mbaya, roho za kichawi.
Iwe unamchukia mtu kwakuwa alikutendea jambo baya, au alimtendea mtu mwingine jambo baya au umeamua tu kumchukia kwasababu za kisiasa...
Ni kuhusu baba hampeleki mtoto shule, kwa ufupi tu mtoto anatakiwa aingie Grade 2 lakini hata grade 1 hajaimaliza, baba yake anaforce shule za ada kubwa wakati ameshakwama kimaisha, anamlea katika...
Nilizaliwa katika imani ya kikristo katika dhehebu la kikatoliki nilibatizwa nikiwa najitambua baada ya kufanya mafundisho,lakini kila kitu tulikuwa tunakalilishwa na siku ya mtihani alikuja...
Hadith Inayohusiana na "Uchawi"Hadith inayojulikana zaidi kuhusu suala hili iko katika Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim, ambazo ni vyanzo vya kuaminika zaidi vya Hadith katika Uislamu wa Kisunni...