Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwanasiasa wa Afrika Kusini na aliyekuwa msemaji wa chama cha EFF, Dkt. Mbuyiseni Ndlozi, ametoa kauli nzito dhidi ya viongozi wa ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC), akipigania misingi ya...
7 Reactions
16 Replies
197 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, amekanusha madai kuwa chombo hicho kilipokea shinikizo kutoka kwa viongozi wa juu wa serikali ili kukaa kimya...
0 Reactions
4 Replies
142 Views
Watu wanne ambao ni wanachama wa Taasisi ya Wanafunzi wa CHADEMA(CHASO) wamekamatwa na wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kukutwa wakipanga na kuhamasisha watu...
0 Reactions
1 Replies
127 Views
Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua...
11 Reactions
113 Replies
4K Views
Wakuu ni wazi kwa tulipofikia sasa hatuna imani na polisi juu ya kumkamata mtu kama hawajathibitisha wenyewe, kwa hali iliyopo sasa ni kama tuna majeshi mawili ya Polisi, moja ni lile linalokamata...
0 Reactions
3 Replies
374 Views
Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mgore Miraji wakati akichangia hotuba ya Wizara ya Mawasiliano ameitaka wizara kusimama kidete katika kukabilina na wizi wa mitandaoni. Oktoba 29 Wizara ya...
0 Reactions
5 Replies
149 Views
Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo...
6 Reactions
4 Replies
194 Views
"Kwa kilichotokea kama tungenyamaza hali ingekuwa mbaya zaidi" akairudia tena... "Kwa kilichotokea kama tungenyamaza hali ingekuwa mbaya zaidi" hitimishoni akairudia tena... "Kwa kilichotokea...
9 Reactions
16 Replies
394 Views
Hotuba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, iliyowasilishwa Leo (tarehe 23 Aprili 2026), inatoa picha halisi, nzito, na ya kusikitisha kuhusu kile kilichotokea wakati na...
1 Reactions
4 Replies
210 Views
Amisa alisema mara mbili kuwa kilictokea kilifanywa na Wageni ila leo Ndecha wakati nae akitudanganya na kupoteza Kwake muda kwa Siku 153 alizopewa nimemsikiliza mwanzo hadi mwisho sikumsikia...
6 Reactions
11 Replies
327 Views
Jamaa zangu wa karibu ninaofanya nao biashara wa 3 walikufa October 29 mwaka Jana. Aisee nasikia uchungu Sana Leo nimetoneshwa kidonda I'm so sorry nimekumbuka mambo mengi Sana ambayo nilikuwa...
1 Reactions
1 Replies
116 Views
Yaani kuua muue wenyewe kujichunguza mjichunguze wenyewe, ripoti mpike wenyewe na bado mnaogopana wenyewe loh 😂👏👏👏
9 Reactions
6 Replies
230 Views
Kuna mambo yameanza kuleta taharuki! ========= Hali ya wasiwasi imetanda katika baadhi ya maeneo ya wilaya ya Arumeru mkoa Arusha baada ya vifo vya vijana zaidi ya watano kutokea katika mazingira...
8 Reactions
66 Replies
1K Views
Tarehe 9, Januari 2026 Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma, imetupilia mbali ombi la Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini na Mwanasheria Mkuu wa Serikali la kutaka kusimamisha...
2 Reactions
4 Replies
344 Views
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imekutana na kufanya mahojiano na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...
1 Reactions
5 Replies
262 Views
Tunaenda kulia kilio kikuu, kilio cha kipekee kabisa. Hakuna atakaye mcheka mwenzake woye tutalia sana. Kuna kilio almost sekita zote za nchi, sijui tufanyeje ila tunaenda kilia vibaya mno.
22 Reactions
88 Replies
3K Views
Hali ya usalama imeanza kuzua wasiwasi kwa baadhi ya wananchi kufuatia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kundi linalojiita TFF (Tanzania Freedom Fighters). Taarifa hizo zinadai kuwepo kwa...
8 Reactions
25 Replies
870 Views
Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. SAE. 3511527/L ya tarehe 21 Januari 2026, ikinitaka kufika kukutana na Tume tarehe 31 Januari 2026, kuanzia saa 2:00 mchana hadi saa 9:00 alasiri katika...
4 Reactions
7 Replies
389 Views
NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii...
3 Reactions
4 Replies
254 Views
Sheria ya data protection inahusu watu gani? Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom