Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hivi ndo vipengele vya Tanzania music awards 2024 (TMZ) 1, wimbo bora wa taarab wa mwaka . Malkia Leyla Rashid(watu na viatu), Mwasiti Mbwana(sina wema), Salha (dsm sweetheart), Mwinyimkuu(bila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo...
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Wakuu hii ndo list ya wasanii wa hiphop waliokufa kwa kupigwa risasi [emoji419]Scott la rock 1987,age 25 [emoji419]Paul c 1989,age 24 [emoji419]Danny de boy 1990,age 22 [emoji419]Charizma...
15 Reactions
225 Replies
13K Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel, bwana Yoav Galant, amesema kuwa shambulio la Iran la hivi karibuni lilikiwa kali lakini lilishindwa, kwa sababu hakuna radilimali za kijeshi za Israel zilizoharibiwa...
1 Reactions
12 Replies
607 Views
1. Ford v Ferrari (2019) 2. The Fast and the Furious (2001) 3. Rush (2013) 4. Days of Thunder (1990) 5. Cars (animation) (2006)
0 Reactions
1 Replies
502 Views
Mhadhara - 40: Wakati ule tulikuwa tuna idadi kubwa ya wasanii waliopeleka ujumbe mzuri kwa jamii na serikali. Hakika walikuwa ni kioo cha jamii kweli kweli. Hawakupata hela lakini walituachia...
3 Reactions
6 Replies
463 Views
Sikusema nae nilipomuona ufukweni, Hakuniona nataka kumsuprise baby girl, Mtu mwingine akaja mshika bega kabla yangu, Kusimama Nashangaa Mara wanakiss na baby wangu, Ile ki-silencer nagubwikwa na...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari, Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela? Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards kwa mihula mitano, akiwania vipengele sita...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hollywood ni kitovu maarufu cha tasnia ya filamu nchini Marekani na duniani kote. Historia yake inaanza mwanzoni mwa karne ya 20. Hapa kuna muhtasari wa historia yake: 1. Mwanzo wa Karne ya 20...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
1. VACANCY. Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni. Wakiwa safarini, ndani ya gari...
36 Reactions
51 Replies
10K Views
Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti. Title: Sitaki demu Artist: Juma Nature (Verse 1) Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia...
1 Reactions
8 Replies
925 Views
Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi? Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
MSANII wa muziki wa singeli, Mohammed Rashid maarufu Mzee wa ‘Bwax’, mwishoni mwa wiki alifanya onyesho la aina yake katika Tamasha la chakula la Coca-Cola maarufu ‘Kitaa Food Fest’ Mbagala...
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
NATAFUTA wimbo au teaser ya kipindi Cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi. Tufirahi shangazi tufirahi shangazi
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza. Kuna ngoma kali kuishinda hii? https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wana hilijukwaa Kuna wimbowa ki nigeria wenye lyrics baadhi zinazosema "... Just one more question...", naomba nifahamishwe unaitwaje I love the song Aasanteni sana
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Matt Damon Jonny Depp Brad Pitt Leonardo di Caprio Tom Cruise
0 Reactions
12 Replies
796 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…