Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida. Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani...
18 Reactions
50 Replies
3K Views
Jana zimevuja picha za mwaka 1986, Za Jengo moja lililopo eneo moja liitwalo "No man land" huko South Korea.. Picha hizo zinaonekana kwenda kukanusha yale aliyoyasema mwandishi story ya Squid...
0 Reactions
3 Replies
736 Views
WATU PORI - NAFSI YA MTU. Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/ Verse ..1 ( mc koba) Sikiliza haya ninayo...
1 Reactions
1 Replies
913 Views
Kuna hizi cartoon mbili maarufu zaidi duniani,wew ni ipi unakubali sana?
0 Reactions
5 Replies
440 Views
Ni filamu inayosimulia kisa cha msafiri anayejaribu kumshawishi kimafia afisa mmoja wa usalama kitengo cha Transportation Security Administration(TSA) ili akubali kupitisha kifurushi flani hatari...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
MSANII RICHARD MANGOUSTINO ENZI ZA UBORA WAKE KUPITIA TUNGO NA USHAIRI WAKE . wachache sana wanaomjua msanii huyu aliyefahamika kwa jina lake Richard Mangoustino . Enzi hizo msanii huyu Richard...
1 Reactions
3 Replies
786 Views
Mkasa : NILIVUNJA NDOA ZANGU 3 KULIPIZA KISASI Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES KISA CHA UKWELI ANACHOSIMULIA CHARLOTE, ANASEMA HIVI, MAJIBU YA MAMA...
4 Reactions
94 Replies
20K Views
Asalaaam wanajamvini. Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii. Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
FEMALE RAPPER SISTER P ALBUM..MAREKEBISHO. SISTER P . Kasi tulikuwa nayo sisi enzi zile, sasa hivi hakuna anayekuja kwa kasi, huyu (Chemical) anajitahidi kasi sio mchezo bado mapengo yetu yapo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
📖Mhadhara (75)✍️ Februari 24, 2002 ilizinduliwa albamu iitwayo "UKWELI MTUPU" kutoka kwa wasanii wawili, si wengine bali ni WAGOSI WA KAYA kutokea kule mtaa wa Kisosora, Tanga mjini. Mmoja aliimba...
2 Reactions
7 Replies
660 Views
MTUNZI: NYEMO CHILONGANI. MAHALI: DAR ES SALAAM. SIMU: 0718 069 269. NITAKAPOKUFA 1. Mlango ulisikika ukigongwa kifujo fujo na mzee Kessi ambaye alikuwa ametoka kunywa pombe za kienyeji katika...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Wasalamu, wadau maisha ni mafupi Kila mtu ana starehe yake. Azam nimelipia ila nashindwa kuipenda kama Dstv, naona Hawa Dstv wana picha HD sana. Ila mnaolipia Cha 165,000 naona mnapata channel...
2 Reactions
9 Replies
882 Views
Na Lizzy (Kisa hiki ni cha kutunga, mfanano wowote na watu au matukio halisi ni bahati tu na siyo kusudio langu. Haki zote za kunakili, kuchapa, au kutoa kwa namna yoyote ile iwe ya uchapishaji...
45 Reactions
379 Replies
57K Views
Movie za mapigano Bongo zinakwama wapi asee, naona tumerudi kwenye tamthilia za masimulizi nazo bado stori zile zile unaikumbuka Misukosuko, na Penzi la Misukosuko. Uliangalia ulikuwa kibanda...
2 Reactions
18 Replies
13K Views
FILAMU NILIYOITAZAMA ZAIDI YA MARA KUMI. LET IT SHINE (2012) Tyler James Williams, mtoto wa mchungaji, ndiye mhusika mkuu kwenye simulizi hii akiwa sambamba na Coco Jones. Nilianza kumfahamu...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI SEASON 1 SEHEMU YA 1 MTUNZI:PATRICK CK MAWASILIANO :0764294499 DAR ES SALAAM 20/04/2032.. Saa kumi alasiri muda ambao jiji la Dar es salaam...
27 Reactions
447 Replies
166K Views
Aliyeandaa Script uwezo wake wa kufikiria ni mkubwa jinsi character walivyokuwa wakifanya mazungumzo una feel na kuenjoy wanavyojibishana hizi ndio tunaita Masterpiece. 1. Jamaa baada ya kuibiwa...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA" Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa akiimba wimbo wake kwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…