Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

,. Hongera ,, ni ngoma kali... Team zile mbili zinazopwayaya hapa zinapotea. PACHA WANGU.- hongera. Melody,. Beat,. Video,. Bass.. Zile team mbili mnazokesha hapa kuleni kona.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Umofia kwenu wana JF, Ebwana sasa hii sifa,akadumba tangia atoe video na nay wa mitego kawa mtamu,kumbe demu kajaliwa neema za alah,hips wema sepetu anakaa,wezere masogange anasoma namba,nina...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Sitti Mtevu ametoa msaada wa vyombo vya kuhifadhia uchafu kwa hospitali ya Ilala kupitia Sitti Foundation. Vifaa hivyo vilipokelewa na mbunge wa Ilala Zungu. Swali hivi kweli watu wanakosa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii nimeipenda bure japo sio vizuri kuchungulia chungulia simu ya mpenzi wako.
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Licha ya Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam' kuwahi kufikishwa kortini na Mbongo Fleva , Raheem Rummy Nanji ' Bob Junior , wamebambwa ' live ' wakioneshana mahaba niue...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hawa jamaa wote tunaweza sema wamepoteza direction kimziki na kimaisha kwa sasa, but enzi zao(kipindi wapo kwenye ubora wao) hakuna asiyejua uwezo wao mkubwa wa kuimba na style yao ya kipekee...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Swali hili ngoja nisubiri. Diamond aje kujibu, kingine awe makini na mitandao. Kama uko nae karibu mjulishe hili.
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Kampuni ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa kama sababu ya ugomvi siku hizi. Beyonce ni mke wa Jay Z, story kubwa zaidi...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
I quote "Mimi naona amefikiri na amechukua uamuzi sahihi kwa sababu simuoni anachofanya namuona kama msindikizaji tuu. Na aende akatafute kitu cha maana cha kufanya na sio kulelewa na...
0 Reactions
44 Replies
13K Views
Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel. Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa...
1 Reactions
41 Replies
11K Views
No comment.
1 Reactions
170 Replies
26K Views
HILI GAZETI LIFUNGIWE!!!!!!!!!!
1 Reactions
90 Replies
18K Views
Imefichuka ,Mrembo wa Uganda ambaye kwa sasa ndiye ' usingizi ' wa Mbongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond ' , Zarinah Hassan ' Zari ' hivi karibuni alitua Bongo na kulala nyumbani...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
King Lawrence has revealed that ‘his brother' Ivan Semwanga's wife Zari Hassan has slept with over 50 men, including loaded Nigerians for money. And all the time, smitten Ivan...
0 Reactions
81 Replies
38K Views
Wakati Diva wa Filamu Bongo , Kajala Masanja ' Kay ' akielezwa kuwa mambo yake hivi sasa yako kwenye mstari kwa kusajili Kampuni yake ya mambo ya Sinema , mwanamke aliyejitambulisha kwa jina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huku watanzania wakiwa wanaamini ya kuwa Jux yupo kimasomo nchini China, young rapper young killer amemchana Jux kupitia kipindi cha FNL kuwa yupo China kununua nguo na si kusoma. By:@SUPU YA MAWE
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Muigizaji wa filamu hapa Bongo, Yvone Cherry maarufu kama Monalisa, amesema kuwa milango ya kufanya kazi za filamu kimataifa imeanza kufunguka, akiwa tayari na project aliyofanya na timu kutoka...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…