Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

  • Closed
awa ndio watu nisiowapenda kuliko wote jf nikiwaone nataman cjui niwafny nn yaan 1ni nyaningabu uyu anajifanya kasoma sana anadharau watu wasio soma wakati ni mbabu 2kiranga uyu ni mjuaji kila...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimefatilia mahojiano mengi ya wasanii wa Hiphop Bongo kwenye Redios/Tvs, wakiulizwa msanii gani wa Hiphop unayemkubali Bongo zaidi ya 60% huwa wanamtaja Fid Q, nilikuwa nategemea watu kama...
2 Reactions
40 Replies
12K Views
Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva wakiwa kwenye mkutano. Duh! Kama ulikuwa unaamini kuwa lile bifu la wakali wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' na Ali Saleh Kiba...
0 Reactions
64 Replies
11K Views
Kwa wale wapenda burudani naomba niwaulize swali msani oten sk hizi yuko wapi?mwenye taarifa tafadhali?
0 Reactions
40 Replies
16K Views
Binafsi nimeumia sana hii picha imepigwa alivyofikishwa hospital,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu sasa ila hakuwa ametangaza. Kwa wale wana Jamiiforums mnaofatilia movie za...
0 Reactions
58 Replies
15K Views
MAHABA NIUE: Siku chache baada ya Wema Sepetu kunaswa kimalovee na Bob Junior, mwigizaji chipukizi, Bozi ameibuka na kumwomba Wema amwachie Bob Junior wake
0 Reactions
3 Replies
3K Views
A group of 12 friends from Atlanta, Georgia have taken their admiration for the singer Beyoncé to a more spiritual level. Zay of www.MapeNation.com reports that Pauline John Andrews is the founder...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyekuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu duniani, Muhammad Ali, amelazwa tena hospitalini leo huko Marekani kwa matatizo ya maambukizi katika mfumo wa viungo vyake vya haja ndogo. Ali alitolewa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
STAA aliyewahi kukamata vilivyo kwenye anga ya muziki wa Bongo Fleva , Shabani Ramadhani ' Matonya ' ameibuka na kumvaa mwanadada Judith Wambura ' Jide au Lady Jaydee ' akidai...
0 Reactions
72 Replies
23K Views
,. Hongera ,, ni ngoma kali... Team zile mbili zinazopwayaya hapa zinapotea. PACHA WANGU.- hongera. Melody,. Beat,. Video,. Bass.. Zile team mbili mnazokesha hapa kuleni kona.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Umofia kwenu wana JF, Ebwana sasa hii sifa,akadumba tangia atoe video na nay wa mitego kawa mtamu,kumbe demu kajaliwa neema za alah,hips wema sepetu anakaa,wezere masogange anasoma namba,nina...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Sitti Mtevu ametoa msaada wa vyombo vya kuhifadhia uchafu kwa hospitali ya Ilala kupitia Sitti Foundation. Vifaa hivyo vilipokelewa na mbunge wa Ilala Zungu. Swali hivi kweli watu wanakosa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii nimeipenda bure japo sio vizuri kuchungulia chungulia simu ya mpenzi wako.
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Licha ya Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam' kuwahi kufikishwa kortini na Mbongo Fleva , Raheem Rummy Nanji ' Bob Junior , wamebambwa ' live ' wakioneshana mahaba niue...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hawa jamaa wote tunaweza sema wamepoteza direction kimziki na kimaisha kwa sasa, but enzi zao(kipindi wapo kwenye ubora wao) hakuna asiyejua uwezo wao mkubwa wa kuimba na style yao ya kipekee...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Swali hili ngoja nisubiri. Diamond aje kujibu, kingine awe makini na mitandao. Kama uko nae karibu mjulishe hili.
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Kampuni ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa kama sababu ya ugomvi siku hizi. Beyonce ni mke wa Jay Z, story kubwa zaidi...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
I quote "Mimi naona amefikiri na amechukua uamuzi sahihi kwa sababu simuoni anachofanya namuona kama msindikizaji tuu. Na aende akatafute kitu cha maana cha kufanya na sio kulelewa na...
0 Reactions
44 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…