Naongea kama mmoja wa mashabiki na wapenz wa mziki wa Maua Sama ninaoamini kabsa Maua ndo msanii mwny kipaji zaid kuliko wengine Afrika Mashariki(hii ni pamoja na nchi zilizojiunga juzi kati),na...
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu tangu 2017 alipotoa album yake ya DAMN, Kendrick Lamar amerudi ameshatangaza ujio wake tena kwa kutangaza ujio wa album yake aliyoipa jina 'Mr. Morale & the Big...
Moja kwa Moja mi naanza na Lulu Elizabeth Michael picha zake nyingi unapata imagination kuwa ni mrefu kiasi lakini ukikutana nae kwa ule ufupi unakuwa disappointed 😞
Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz amekosolewa mitandaoni kwa kutumia bendera yenye utata katika video ya wimbo wake mpya wa Gidi.
Bendera hiyo ni ya kundi la Shirikisho la majimbo ya...
Steven Charles Kanumba (alizaliwa mnamo tarehe 8 Januari 1984,katika mkoa wa Shinyanga - alifariki tarehe 7 Aprili 2012 alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Tanzania, baba yake...
Habari zenu nyote!
Kama kichwa cha habari kilivyouliza, naendelea kuuliza yuko Baba yetu, jasiri aliyekemea dhambi bila kificho na kujitengenezea maadui wengi kwa kuupigania Ukristo na utakatifu...
Msanii namba moja Africa Diamond Platnumz au mashabiki wake wanapenda kumuita Simba mnyama mkali amekuwa trend namba moja nchini Qatar.
Diamond amefanikiwa kuwa trending namba moja kwenye...
Pitapita yangu nikaona leo niangalie habari nikaona WCB wameitisha mkutano na kuanza kulalamika kuhusu nyimbo yao sijui inaitwaje ila video inaonesha kama kashfa ya imani fulani.
WCB sio mara ya...
Mlichosikia ndicho kilichotokea baaada ya miez kadhaa kuzinduliwa na kufanyika kwa tuzo za mziki chin ya sebule sebule lilipewa baraka zote na na gavooo na head of the state huku gavoo ikitarajia...
The 2021 MTV EMAs are here! The awards show kicked off on Sunday with a ceremony hosted by Saweetie!
Some of the biggest global superstars came together for a celebration of music held at Papp...
Habari zenu jukwaa la celebrities. Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya mwanzo ya 2000, alikuwepo Msanii mwanafunzi wa secondary ya Wasichana Tabora aitwaye Farida Koshuma. Alikuwa na wimbo...
Ujana, mapenzi na ustaa.
Maneno hayo machache yanatosha kuelezea maisha ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Kama hukufaidi drama za hawa wawili, bado hujalijua vizuri game la muziki wa kizazi...
Professor Silas Lwakabamba, Ni Mtanzania wa kwanza kwenda kufungua Chuo ambacho leo hii kinaonekana kama ni mfano wa kuigwa katika Bara la Africa, yaani ni chuo cha Kigali Institute of Technology...
Kuna watu wanavipaji vya kusimlia. Sauti zao na mpangilio wa maneno yanayotoka mdomoni vinaweza kukufanya usikilize zaidi hata ambacho ukutaka kukisiliza.
Ikiwa kuna watu 3 duniani wenye vipaji...
Jacqueline Ntuyabaliwe ambaye ni mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi, ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi ambao...
Miongoni mwa matukio ambayo yamezua gumzo ni tukio la Wema Sepetu kuwafukuza nyumbani kwake mastaa wenzake wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Kajala Masanja, Jacqueline Wolper...
Hii Jinsi gani inaonesha watangazaji wetu wanna upeo mdogo.
Katika kipindi cha Mashamsham ya Pwani cha Wasafi FM, Didas akiwa Arusha alipigiwa simu na mtangazaji mwenzake na kumuuliza mlima...