Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Baada ya kusikia jina Vunja bei kwa muda mrefu mitandaoni ikabidi na mimi nigoogle, nikafaikiwa kukutana na podcast moja ya vunja bei. Jamaa ameongea mambo mengi sana na moja amewataka wateja waje...
9 Reactions
174 Replies
33K Views
Jamani mshahesabiwa huko? Wandugu Kama mjuavyo penye msiba hapakosi kilio... huyu hapa chini ni mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe kwa uchungu... Wanazengo wengi wametoa maoni yao kwamba hiki...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Kuna habari kuwa aliyekuwa mke wa Mengi ameshinda kesi hivyo amekabidhiwa urithi wote ulioachwa na Mengi. Mwenye taarifa zaidi atujuze kulikoni!
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wadau. Nimejaribu kukumbuka hii love triangle ya Lord eyes, Ray c, na mwisho mwampamba, na naona angalau Hawa wawili Ray c na Lord eyes wanaonekana mahali walipo. Huyu ndugu yetu...
7 Reactions
125 Replies
27K Views
Natoa pongezi kwa msanii namba moja Afrika kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana...
16 Reactions
105 Replies
9K Views
Yes, eminem kuna muda anasifia kwamba kuna marapa weusi flani walikuwa anawasikiliza, wanampa morali, n.k lakini hii haiondoi ukweli kwamba yeye ni mfalme, Messi anaweza kumsifia Maradona alikuwa...
10 Reactions
60 Replies
4K Views
Rommy jons amuandikia barua ya wazi diamond platnumz "Barua ya wazi kwa mdogo wangu Nasibu Abdul ama diamond platnumz Nakumbuka ulivyoanza kutoa nyimbo na wasanii tofauti na wa nchi tofauti...
19 Reactions
124 Replies
17K Views
Hatunywi maji sasa. Hii itatundikwa kila mahali. Hadi kwenye mashairi
18 Reactions
86 Replies
10K Views
Angela White kutoka Australia amevunja rekodi ya AVN , tangu mwaka 1984 tuzo hizi zilipoanzishwa. Amekuwa mtu wa kwanza kushinda tuzo ya AVN kipengele Cha FEMAL PERFOMER OF THE YEAR kwa Mara 3...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Mahakama imeamuru Mjane wa Kobe Bryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola za Marekani Milioni 16 baada ya kuthibitisha kuwa Maafisa wa Polisi na wa Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyota wa muziki Shakira ametangaza kutengana na Gerard Pique ikiwa ni miaka 11 baada ya wawili hao kuwa pamoja na kufanikiwa kupata watoto wawili. Taarifa hizo zilianza kama tetesi ikidaiwa...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Taarifa za huzuni kubwa Msanii mkongwe Nchini Tanzania, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu ametutoka leo Jumamosi Julai 9, 2022 akiwa Magomeni nyumbani kwake. Taarifa za kifo chake...
12 Reactions
62 Replies
8K Views
Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au! Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi...
14 Reactions
56 Replies
6K Views
Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili...
11 Reactions
65 Replies
10K Views
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Fire Boy- PERU NA REMA_Calm Down. Ipi imetulia zaidi? PERU VS CALM DOWN.
1 Reactions
1 Replies
454 Views
Babu tale kasema Rayvanny Bado ni msanii wa wasafi kwakuwa Bado hajalipa pesa anayostaili kuilipa Kwa wasafi, Ili wamalizane kibiashara, kwahivo inamaana Bado wasafi wanaendelea kula 60%ya kila...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Yaani Picha uliyopiga miaka Mitano iliyopita na Rais Mteule wa Kenya William Ruto ndiyo leo hii baada ya Kuona ametangazwa mshindi ndiyo unaiposti Mitandaoni huku Ukidanganya kuwa ulienda...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked...
26 Reactions
92 Replies
10K Views
KOFFI OLOMIDE ACHAPWA TENA Baada ya kukosekana kwa miaka 11, Koffi Olomide alitarajiwa kutumbuiza katika ukumbi wa Paris La Defense Arena, mojawapo ya kumbi kuu za burudani barani Ulaya, akirejea...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…