MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.
Katika...
Ndugu wana jf,naomba kumpongeza sana Prof Jay kwa kujiunga na CHADEMA kwani ameonyesha njia kwa vijana wengi na pia naomba kutumia fursa hii kumkaribisha hapa kwenye jukwaa la maoni huru na aje...
MASUALA YA JAMIIAngelina Jolie aondoa matiti yote mawili
Mcheza sinema maarufu wa Kimarekani, Angelina Jolie, ametangaza kwamba amefanyiwa operesheni ya kuondosha matiti yake yote mawili ili...
Picha ya 1: Washiriki wa shindano la Miss Mwanza 2013, wakisikiliza
kwa makini maelekezo dhidi yao kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya
SISI Intartainment inayoandaa shindano hilo, John Dotto...
TeddyKalonga
Monday, June 30, 2008
TK
Pichani : Ni mimi (samahanini kama nimewatia kinyaa)
Najua wengi wenu mmenihukumu vibaya sana kutokana na mambo yaliotokea last week. Kwa kweli hamkufanya...
"NILIJIUNGA CHADEMA ILI NISAIDIE HARAKATI ZA UKOMBOZI WA TANZANIA NA SINA MPANGO WA KUGOMBE UBUNGE" ... PROFESA JAY
Mchawi wa rhymes, Profesa Jay amesema hakujiunga na CHADEMA ili mwaka 2015...
Nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa ana wake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. Kwa maisha ya kawaida hapa Tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango...
hizi ni habari kutoka kwa watu wake wa karibu anaoishi nao sinza na habari kua ana mpango wakubadili staili yake ya nywele ili awe kama mzungu hivyo ameanza kuzibadiklisha taratibu kwa kuweka...
ni show ya kina Kala pina, Kalla Jeremaya, Mansul na wengine kibao siku ile ile ya show ya Lady Jay dee na zote zinapigwa promo ya nguvu na Cloulds fm, au ndo yale yale ya mwenye nguvu mpishe
na...
"Nadhani baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha kabisa...Nafahamu kila mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu nilizoelezea kwanini sijatoa waraka mwingine Tar 15 kama...
KUBWA KULIKO ZOTE WEEKEND HII
Wacha weeeeeee hii ndio habari ya Dar mitandaoni kwa sasa
baada ya la hapo juu mambo yakawa mambo haya sasa jionee Drama in Dar City
Hizo...
ABY SYKES
ABBY SYKES
DULLY SYKES
Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa na kamera ya Xdeejayz akichambua bangi mikononi...
Huyu mbondei wa muheza mwenye ndoto za kugombea ubunge hapo muheza 2015 kupitia ccm naona anazidi kuchuja hii nyimbo yake ya kama zamani alianza kuipa promo toka mwaka jana mwishon mara...
SABABU ZA MATONYA KUTOSHIRIKI SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE
Tetesi zinaweza kuwa za ukweli au pengine zikawa ni story za kujitungiaLakini tetesi zinasema kuwa Matonya alipigiwa simu na...
Hii ni kwa utafiti wangu mdogo kwa nguli huyu wa Hip hop lakini pia akiwa mtunzi na mtayarishaji maarufu wa Muziki bila kusahau ni DJ vile vile.
Binafsi sikujua huyu mwadada ameshiriki kuandika...
Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya 'So so fresh' na DJ Fetty, Mh Halima Mdee (Mbunge wa kwa - CHADEMA) amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa anashiriki...