Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wwngi hum wimbo wa number one ya Diamond walikuwa na pengne bado wanauchukilia poa... lakin kwa msanii Wa kimataifa Davido hakutaka kujiuliza mara mbili mbil kuomba wimbo huo waufanyie remix...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hii video mpya ya MY NUMBER ONE ya diamond ,imenifany nimkubali sana,nyimbo iko poa sana ila kikubwa kilichofanya niipende ni wale video queens wake jinsi wanavyocheza kwa ubunifu wa hali ya...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Habari wazee. Najua humu kunaweza kua na wataalamu wanaohusika na kushoot bongo movie au ata waigizaji wenyewe. Nilikua na swali kidogo kuhusu hii sector. Hivi kwa kawaida movie moja (Bongo...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
habari wana jf, kwa kuanza tu niseme kwamba tasnia ya sanaa ya maigizo hapa bongo, almaarufu kama bongo movie, imeshika kasi kwa umaarufu kwa kiwango fulani japo ina mapungufu ya ubora wake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kabisa BASATA wameguswa na milegezo ya Ney wa Mitego mpaka kumwandikia barua ya onyo,au kuna kitu kingine behind the scene??na Kama wameamua kufatilia maadili nadhani walitakiwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Eatv ni bora kwa hapa bongo.kuanzia vipind,graphics na vingne. Ila kuna watangazaji wanapunguza ule ubora. 1.dulah wa pb kubana pua 2.fatma wa hotmix huyu ndo anaharibu lugha! English hayupo na...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Asilimia kubwa ya wasanii wa tmk wanachanganya maneno yanayo husu misosi au vinywaji katika nyimbo zao.eg.kachumbali,vinywaji kwenye furiji,mishikaki n.k. hadi sasa hivi sijajua kama ndo...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Yule dogo muoza meno toka atown,katimuliwa toka mtanashati baada ya kukacha shule na kuondoka kwenye getho alilopangiwa. Ni mara ya pili kwa dogo kutoswa baada ya kutoswa na madee mwaka jana.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Account hiyo ambayo imeungwa na mtandao wa facebook,kuna mtu kaiingilia nakupost kuwa kesho prof atakuwepo kwenye shoo ya leaders wakati sio kweli wala hawajaongea naye.Ameyasema hayo akiongea na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mtizamo wangu , kama huyu jamaa akiamka vizuri kabisa siku ya fiesta hao ma international wataisoma namba!!! Akishusha hv vitu viwili tu kazi kwisha NANI KAMWAGA POMBE YANGU !! Amalizie na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Music industry ya Tanzania ndio imemuangusha huyu mama?au kajiangusha?.....anafanya music safi sana....na music yake hauchuji!.....nadhani wadau wangepush musicians kama hawa kama kweli tuna nia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dah uwa nafuatiliaga sana hadithi za huyu jamaa,ila hii hadithi ya A SAINT & GHOST ni balaa,jamaa anaweza sana duh,Big up Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Hapa bado haijakamilika, ni stage ambayo kukamilika kwake inachukua siku kumi ikiwa inatengenezwa… ni stage ambayo itakua na winch ya kupandisha wasanii kuja kufanya show, kutakua na screen za...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
CLICK ON Watch On You Tube. (Hiyo video ya juu tu.)
1 Reactions
1 Replies
1K Views
mademu lyrics by mpoki ft barnaba It’s talk of the time classic Fish crab music lamar Fish crab representing mpoki barnaba Fish crab cook out aaaah (verse1) Mwanamke lazima awe na sifa kubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niko sebuleni kwangu baada ya kuangalia channel makini nimejikuta tu leo kwa mara ya kwanza wacha niiangalie hii clouds tv. Kwanza kabisa nakutana na Tamasha la Serengeti Fiesta sijui ni la mwaka...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
ladies and gentlemen!!!!! comment est votre nuit? aisee please mwenye mawasiliano na huyu mwanadada jackline wolper ama wolper gambe naomba anipatie! nimetokea kumpenda sana, tatizo sijui...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Watu wanajiuliza kwanini Clouds inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa kuliko wasikilizaji wa radio stations zote. Jibu ni moja tu: ubunifu. Kwa mfano, wakati Radio 1 bado wanapiga ma-jingle...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
1.NEY WA MITEGO huyu aliwahi kua mwizi wa mifukoni katika pilka zake za maisha maeneo ya manzese ila aliacha na kujikita kwenye muziki sasa anmudu maisha yake kw akazi ya halali SOURCE yeye...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…