Wakuu,
Huko Nigeria sasa hivi ni shangwe na vigelegele tu maana kuna msanii wao wa kuitwa Ayra Starr amemwaga wino kwenye kampuni iliyoanzishwa na JAY Z ya kuitwa Roc Nation.
Nilichopenda ni...
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.
Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu...
Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla.
1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.