Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Katiba ya Marekani inampa Rais Nguvu kubwa katika kuamua hatua za kuchukua kuhusiana na masuala ya kimataifa (Foreign Policy) Rais huhitadi uungaji Mkono wa Mabunge ya Senate na Congress ktk...
Wakuu, habari za leo.
Hivi karibuni nimekuwa nikitafakari nadharia ya mwanafalsafa Thomas Hobbes kuhusu "State of Nature" (hali ya asili ya binadamu kabla ya mifumo ya kisheria). Hobbes aliamini...
Baada ya mwaka mmoja na zaidi, hukumu ya kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imewadia, na kitendawili kinaenda kujibiwa. Je, atakutwa na hatia au lah? Nini kitafuata baada...
Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile
George Jackson David
Aisha Muhammad Nurdin...
Hili jambo linapaswa limfikirishe kila mwanachadema ambaye bado anaendelea na harakati nyakati hizi.
Wiki hii watu wanajadili ushoga zaidi na kwa kiasi fulani uchaguzi wa Marekani.
Ni msiba...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali kuhusu ushoga, na jambo moja ambalo huwa linanishangaza ni namna ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wepesi sana kuwatukana, kuwadharau na kuwahukumu mashoga...
Laura Loomer, Mwanaharakati mtata Mhafidha wa nchi na Ukristo (Christian Nationalist) wa mrengo mkali anayempinga Uislamu Marekani na sera za kijamaa Marekani amekata tamaa na kutilia shaka kabisa...
Ni Dhahiri Lissu si Mhaini, kwa maneno na vitendo. Na bila shaka kila aliyesikia kesi ile ilivyoendeshwa Mahakamani na Ushahidi ule wa kwenye Majeneza ya Kificho hakuna Uhaini wowote ule...
UNAHISI NI KWANINI SERIKALI INAFUMBIA MACHO SAKATA LA USHOGA?
Sakata la ushoga limeendelea kuwa gumzo nchini, likitajwa na kujadiliwa hata ndani ya Bunge, lakini bado baadhi ya watu wanaodaiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.