Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uanaume si koti unalolivaa ukubwani; ni mbegu iliyooteshwa ndani ya vinasaba (DNA) . Sifa kuu za kiume—Uongozi, Uthubutu, na Ulinzi—ni silika za kibaolojia ambazo mwanaume huzaliwa nazo. Hata...
3 Reactions
13 Replies
25 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuwaomba Watanzania tucheni wivu wa kike!, kumuonea wivu mtu mwenye myota yake, bahati yake, kismat chake, ambaye pia ni mwenye nacho, anapoongezewa!. Kama huu...
5 Reactions
13 Replies
35 Views
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei. Vyombo...
29 Reactions
12K Replies
184K Views
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa...
6 Reactions
168 Replies
376 Views
Hivi sasa kinachoendelea huko mitandaoni ni kelele kwamba Mheshimiwa flani kaachana na mke wake baada ya DNA kuonyesha mtoto si wa kwake, Hakuna chanzo rasmi kilichothibithisha kwa uhakika kama...
6 Reactions
41 Replies
688 Views
CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara. CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la...
9 Reactions
16 Replies
313 Views
Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu...
13 Reactions
143 Replies
686 Views
https://www.instagram.com/reel/DWo8mLfDFW8/?igsh=NzM3MmtpOGcxNmZk Katika pitapita zangu za online nimekutana na taarifa iliyorushwa Jana, wadau huko Songwe wanasema Kuna watu wanakugusa bega...
5 Reactions
71 Replies
444 Views
Tafadhari hi ni mada ya somo la theolojia sio ya la kiimani. Wanafunzi Wenyewe Walijitenga na Paulo Katika Matendo 21, Paulo anaporudi Yerusalemu, wanafunzi wanamwambia: “Ndugu, waona jinsi...
0 Reactions
2 Replies
19 Views
Dada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri. kuna muda...
2 Reactions
28 Replies
216 Views

FORUM STATS

Threads
2,049,595
Posts
55,188,471
Back
Top Bottom