Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwangu mimi ni chapati sizichoki asee af za mama ntilie hapana nimekuwa affected siwez kula chakula ame pika mwingine na simuamin mtu kwenye swala la kupika ata kama nimechoka kuliko kununua bora...
12 Reactions
159 Replies
567 Views
Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa...
2 Reactions
13 Replies
51 Views
Kijana tafuta pesa baada ya hapo Sasa tafuta BIKRA wako weka ndani. Endelea Kula Maisha. Sitaki maswali mengi nipo zangu na-meditate hapa.
2 Reactions
15 Replies
67 Views
Hivi karibuni, wanasayansi kutoka NASA wamedaiwa kwenda mwezini kutalii na kupiga picha kupitia misheni ya Artemis II, na hatimaye kurudi Duniani. Jambo hili, kama mwanasayansi, nalipongeza sana...
8 Reactions
118 Replies
934 Views
Kuna watu hawaamini katika Bing Bang but I want to assure you that Bing Bang is a real thing.
7 Reactions
100 Replies
1K Views
Kuna mtindo ambayo inatrend sana swala la kina dada kujilipia mahari , Swali ni kama dada unaeza msadia mpenzi wako kulipa mahari Na wewe Kaka unaeza kubali mpenzi wako kukulipia ama kukusaidia...
5 Reactions
26 Replies
83 Views
KAFULILA: ECOSYSTEM YA UBIA INAJUMUISHA WANANCHI, SERIKALI NA SEKTA BINAFSI == Akijibu masuala ya wadau katika Kongamano la Kitaifa la Nishati, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha PPP (PPPC), Bwana...
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Habari zenu wakuu! Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani. Nimesikitika familia yangu...
5 Reactions
9 Replies
10 Views
1. Utapeli (The 40-Year Scam) Tumeaminishwa tufanye kazi miaka 40, tuweke akiba kidogo kidogo, ili tuje tuanze kufurahia maisha tukiwa na miaka 65. Huu ni wazimu wa kiwango cha lami! Yaani...
14 Reactions
17 Replies
110 Views
Ndugu Mjasiriamali, Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA. Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines. Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
5 Reactions
14 Replies
451 Views

FORUM STATS

Threads
2,050,310
Posts
55,205,238
Back
Top Bottom