Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
318 Reactions
188K Replies
7M Views
Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5 Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi...
16 Reactions
153 Replies
10K Views
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi . Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye...
3 Reactions
15 Replies
283 Views
Nilitembea usiku kucha kwenda Mbeya kumwambia mwanangu acha kushiriki vurugu siku ya uchaguzi. Na hii ni baada ya kutonywa na mkewe kuwa mumewe (mwanangu) anasema anataka kushiriki vurugu...
3 Reactions
70 Replies
619 Views
Ni matusi makubwa sana kuna kituo cha televisheni kila baada ya mechi za ligi kuu Tanzania bara wanaweka tangazo la kituo cha mafuta kinaitwa MUNIO yaani sisi Wahehe, wajukuu wa Mkwawa...
9 Reactions
37 Replies
264 Views
Mwamuzi wa soka nchini Tanzania, Ahmed Arajiga, amesema anatamani kuwa Mtanzania wa kwanza kuchezesha michuano ya Kombe la Dunia, akieleza kuwa anaamini kutimiza ndoto hiyo kunahitaji kuendelea...
2 Reactions
15 Replies
196 Views
Watanzania hawapaswi kubaki watazamaji wakati fursa za uwekezaji na miradi mikubwa ya maendeleo zikiendelea kuongezeka nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta...
3 Reactions
9 Replies
294 Views
Jeshi la Magereza nchini Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amegoma kula...
3 Reactions
52 Replies
847 Views
Mdau mmoja ameeleza jinsi baadhi ya wanasiasa wa sasa wanavyotanguliza maslahi yao binafsi badala ya yale ya wananchi, akiwafananisha na majambazi. Hata hivyo, amesema tofauti ni kwamba baadhi ya...
1 Reactions
5 Replies
141 Views

FORUM STATS

Threads
2,105,552
Posts
56,431,948
Back
Top Bottom