Hello April born babies.🥰
Kila mwaka ikifika mwezi kama huu Huwa nakuwa na furaha sana.
Huu ni mwezi wangu wa kuzaliwa na Huwa naufurahia sana.
Naendelea kukua na kuwaza mambo makubwa zaidi...
Heri ya Sikukuu ya Pasaka
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete anawatakia wananchi wa mkoa wa Mara na Watanzania wote kwa ujumla Pasaka njema iliyojaa upendo, amani na...
Habari?
Kama kichwa kilivyo, mimi ninafanya kazi ya kuajiriwa ,na mke wangu ni mfanyabiashara tuna watoto watano, wawili bado wadogo chini ya miaka mitano. Wengine wapo miaka 12, wapili 9 na...
Jiulize Kuna uhusiano Gani kati ya mtu kuguswa bega na kupoteza mbor. o 😂
Yaani watu wanaiamin katika technology, uvumbuzi na science,
Sisi tunauana ati mtu alikugusa bega ukapoteza nyeti...
It was all started at JF.. And of course PM.. Then contact exchange.. The rest ni maumivu ama experience za kuvutia!
Alinikopesha 2,000,000 kwa lazima kwa riba ya 600,000 kwa mwezi!
I paid it...
Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home.
Ilikuwa kicheko na masikitiko.
Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa...
Jamiinimetushape kwamba ndoa ni kitu cha lazima sana vinginevyo hamna urafiki,mapenzi au mahusiano ya namna yoyote kati ya me na ke
Na hii ndo inasababisha ndoa nyingi kuwa za hovyo kuliko...
Neno mama:-
1. Kwa kiha (watu wa Kigoma) ni "nyoko".
Mfano.
(a) Ndamhamagala nyoko wawe (namuita mama yako).
(b) Jewe ndi nyoko wawe (mimi ni mama yako).
2. Kwa lahaja nyingi za kiswahili; neno...
Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu...
Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika.
Swali la kwanza:
Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena?
Yaan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.