Hituba fupi sana yenye maneno machache, ndugu zangu mliopoteza wapendwa wenu, na wote waliodhurika kutokana na yale yote yaliyotokea kipindi cha uchaguzi mkuu, mtusamehe.
Tuungane, tujenge nchi...
Shabiki wa timu ya Zamalek ya Misri baada ya kuona orodha ya timu walizopangwa nazo kwenye kundi lao, ametoa maoni yake kuhusu kundi hilo.
"Tutacheza dhidi ya MC Alger kutoka Algeria, Yanga...
TAMISEMI ilivyoharibu Penzi langu
Ilikua mwaka jana nikakutana na binti mrembo, tulikutana kwenye harakati zangu za hapa na pale za kutafuta riziki. Niliongea nae vizuri na kuanza kufahamiana...
Nilitembea usiku kucha kwenda Mbeya kumwambia mwanangu acha kushiriki vurugu siku ya uchaguzi. Na hii ni baada ya kutonywa na mkewe kuwa mumewe (mwanangu) anasema anataka kushiriki vurugu...
Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa onyo, kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Usiende kituo cha Police na gari tinted in black glasses au unaenda na begi ambalo Polisi wataanza kuhisi kuwa labda umebeba silaha.
Polisi wa hovyo wapo ila sio wote...
JamiiClub Sasa Rasmi Play Store: Live Streaming na Fursa Mpya kwa Watengeneza Maudhui
JamiiClub, bidhaa mpya rasmi na sasa inapatikana kwenye Google Play Store. Watumiaji wanaweza kuipakua na...
WANAUME, NAWAITA NJOOENI KWENYE JAMVI
ANGALIZO: Hapa ukija, njoo na hoja, usije na hisia zako
UTANGULIZI :Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanaume wakisema mwanamke asiye na bikra...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.