Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

I feel like this platform is not where am supposed to be... Kwa herini wanajukwaa, it was nice crossing paths.. Nimeona, what am about to accomplish in life is not aligning with the environment...
11 Reactions
91 Replies
321 Views
Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea...
16 Reactions
100 Replies
1K Views
Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mexico City, Mexico, ameripotiwa kufariki baada ya kupata kile kinachojulikana kama love bite au hickey shingoni kutoka kwa mpenzi wake. Kwa mujibu wa...
5 Reactions
38 Replies
206 Views
https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu...
2 Reactions
14 Replies
147 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026.
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Watanzania hakika tunafurahia sana kuona jinsi mnavyopambana bila kukata tamaa mungu aendelee kusimama na nyie katika kila jambo Hakika hii ndo chadema ambayo nilikuwa natamani itokee siku zote...
4 Reactions
12 Replies
33 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus...
3 Reactions
29 Replies
116 Views
Ukimsikiliza vizuri huyu jamaa huwezi kuelewa kwa undani dhamira halisi ya awamu ya sita tulianza na BBT ya Hussein Bashed kisha tukaingia Samia Road fund. Yote yamecolapse sasa amekuja bwana...
2 Reactions
7 Replies
15 Views
Juzi kati , nipo zangu bar natia gambe , huku nikicheki game ya Manchester United, kupiga jicho nakutana na jicho la mtoto mkali kinouma. Halafu kwa makusudi kabisa akasimama akatoka kwenda...
14 Reactions
81 Replies
570 Views
Wakuu Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande...
7 Reactions
88 Replies
414 Views

FORUM STATS

Threads
2,086,706
Posts
56,072,938
Back
Top Bottom