Humphrey Polepole kwa kimywa chake alithobistishia umma wa Watanzania kuwa Angella Kizagha aliiba zaidi ya bil 60 kwa kulipwa malipo hewa .
Malipo ambayo hayati Magufuli ambae hakufurahi juu ya...
Kama ulikuwa hujui, basi habari ndio hii: Mtu mwenye ngozi nyeusi kama sisi, ambaye sasa amefika mbali sana katika anga za juu, hajamsahau Mungu aliyemfikisha hapo.
Huyu si mwingine ni Victor...
Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa...
Tulia Akson aliyekuwa anaona sifa kutunga sheria mbaya, na kutumika kulinda uovu wa serekali bungeni, alipigwa chini.
Na kabla hajapoa vizuri mumewe naye kapigwa chini Sasa wakae wapitie uovu...
Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake,
Anapenda...
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.
Vyombo...
Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja
Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote...
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.