Habari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye...
Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao.
Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia...
Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.
https://www.instagram.com/p/DWoXSBYDJyh/?igsh=MTMzZ3c3aXRvNHpueQ==
My Take
Hakuna fitina mtafanya dhidi ya maslahi ya Nchi...
Maelezo kuhusu operesheni ya uokoaji kulingana na vyombo vya habari vya Marekani na Iran:
Rubani wa Marekani alijificha kwenye kilima kilichoinuliwa katika eneo la milimani na misitu ambapo...
Kinaitwa CSEL
kinatuma meseji pekee ambazo ziko encrypted na inatumia signals ambazo adui yeye kwake huzipokea kama kelele.
Kimeunganishwa kimtandao pekee na ofisi ya uendeshaji.
Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia...
Wakuu Nina omba msaada wa Tiba mbadala kwa anaye fahamu.
Natokwa na Damu puani . Ishu imeanza Ijumaa.
Ijumaa imetoka mara 1 asubuh.
Jumamos mara 2 asubuh na mchana
Jumapil mara 5. Asubuh saa 3 na...
Juzi tarehe 1 tumeona team ya Artemis II kutoka NASA imefanya tena ziara ya kuelekea mwezini ambayo itachukua siku 10 na leo tayari picha za awali zimeanza kusambazwa.
Hii siyo simulizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.