Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Amekosa nini kinachompa hukumu hiyo ya kikatili, Je viongozi wa Tanzania hawataki vijana wenye akili? Au kosa lake ni kugoma Kuhamia CHAUMA? Lakini Je Watanzania watanyamazia mauaji yake na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sisi tunapenda hela, hatupendi tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenzi nawe kabisa. Tunapenda hela sasa
9 Reactions
230 Replies
850 Views
Ni kheri wakuu.... Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X. Moja ya...
8 Reactions
55 Replies
838 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
159 Reactions
132K Replies
9M Views
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD. Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM...
8 Reactions
33 Replies
586 Views
Malisa Godlisten Leo alikuwa safarini kutoka Marekani ambapo amekuwa kwa zaidi ya miezi tisa (9), tangu alipoenda kuiwakilisha nchi yetu kama mtanzania pekee aliyechaguliwa na Wizara ya Mambo ya...
3 Reactions
2 Replies
36 Views
Lionel Messi ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Argentina. Taarifa hiyo ameitoa leo, Agosti 31, 2026, kupitia ujumbe kwenye Instagram yake. Messi amesema amefikia uamuzi huo...
4 Reactions
12 Replies
146 Views
Leo tujadidili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha
2 Reactions
24 Replies
218 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
313 Reactions
185K Replies
7M Views

FORUM STATS

Threads
2,086,273
Posts
56,063,444
Back
Top Bottom