Mimi ni mfugaji wa kuku,mbuzi na kwa uchache sana Ng'ombe hivyo huwa natambea maeneo na maeneo nakutana na kila aina ya mbegu za mifugo tajwa hapo juu.
Mara kadhaa nimekuwa nikishuhudia hii tabia...
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya...
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.
Vyombo...
Waamini Mungu walianzisha madai yao ya uwepo wa Mungu, Sasa badala wayathibitishe wao wenyewe. Wanataka Sayansi iwathibitishie.
Kwani Sayansi ndio ilileta habari za huyo Mungu?
Au ni nyie...
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
Tigo postpaid
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
Baada ya kusikiliza vilio vya wengi, Beforward wamewawekea Tesla Cybertruck kwenye website yao, ivyo Mtanzania anaweza kununua direct kutoka kwenye simu yake.
Hadi leo, April 2, zipo mbili tu...
Ama kwa hakika hii Nchi raia wake wanadharauliwa kuliko hata kinyesi cha binadamu
Pamoja na kashfa zenye ushahidi mwanana uliotukuka lakini Kizigha bado anateuliwa, Ni kama vile CCM haina watu...
Kanali Ruhollah Minakhani, mwanachama wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC), aliuawa katika shambulio la anga katika jimbo la Zanjan.
Wakuu, umasikini unatisha bhana. Nimechoka nimechoka nimechoka, naitaji mwenye kujua connection ya mganga wa kienyeji anayetoa ndagu za utajiri anisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.