Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni utaratibu wa kawaida mke na watoto kuwa bega kwa bega pale baba au mwanafamilia mmoja anapopata tatizo lolote iwe maradhi,misiba au hata mashtaka ya kimahakama,tuwe tu wakweli,je mke wa aina...
2 Reactions
26 Replies
305 Views
Tarehe 6 Novemba 2026, eneo la Mwenge, jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ilifanya operesheni na kufanikiwa kukamata jumla ya paketi 299 za dawa za...
10 Reactions
38 Replies
317 Views
Yaani hata ukijikuta umeshataja neno bikra (kama ajali) basi malizia kwa kusema Maria, la sivyo kuna watu wataona unawananga. Hivyo, nakuasa usipendelee kulitaja neno hili uwapo karibu na watoto...
16 Reactions
74 Replies
252 Views
Nilikuwa nasoma kitabu Desturi za Wachagga, by S. J. Ntiro, 1953. Jisomee mwenyewe. MLANGO WA 5 ASILI YA WACHAGGA Wachagga ni kabila lenye mchanganyiko wa makabila mengi sana. Makabila haya...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwa wale mliofika china mtagundua wanawake wengi wa huko ndoto zao kuwa na mwanaume tajiri.
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Saleh Khamis Baseleman, maarufu Mbwiga, anayedaiwa kuwa kinara wa mtandao wa kimataifa wa usafirishaji wa dawa za kulevya, amekamatwa nchini Kenya katika operesheni ya pamoja ya Mamlaka ya...
6 Reactions
82 Replies
870 Views
So Mungu alimuumba Adam na Eva, alawapa maelekezo ambayo waliyakaidi, akawapa adhabu ya mateso, kifo na kuchomwa moto wa milele Ili Mungu kuwaokoa kutoka kwenye hiyo adhabu aliyowapangia...
1 Reactions
13 Replies
63 Views
🚨SILAHA ZA HEZBOLLAH ZAGUNDULIWA UMBALI WA MITA 100 TU KUTOKA KWA VIKOSI VYA KULINDA AMANI VYA UMOJA WA MATAIFA NCHINI LEBANON! Jeshi la Israel linaripoti kugundua roketi, bunduki, silaha za RPG...
1 Reactions
6 Replies
43 Views
AISEE NIMEANGALIA HII TIMU SIJAJUA ATAKUTANA NA SIMBA AMA YANGA SIJAANGALIA ILA WATAKAOKUTANA NAO JAMAN WAJIPANGE HAWAJAMAA HAWANA HURUMA KABISA WAKO LAMA COMO YA 🇮🇹 KILA LA KHERI USM ALGER
1 Reactions
13 Replies
254 Views
Wanaukumbi. 🇺🇸 Thomas Massie amewasilisha hoja ya kumshtaki (impeach) Pete Hegseth kuhusiana na vita dhidi ya Iran. Anamtuhumu Hegseth kwa kuanzisha vita bila idhini ya Bunge, kukiuka kanuni za...
1 Reactions
11 Replies
54 Views

FORUM STATS

Threads
2,110,001
Posts
56,511,904
Back
Top Bottom