Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi.. Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi? Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani. Wenzie wako kwenye...
20 Reactions
262 Replies
1K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
134 Reactions
432K Replies
16M Views
Wakuu habari ya Jumapili, Leo asubuhi nilikuwa kanisani kwenye ibada. Mchungaji alikuwa anahubiri, alikuwa anahubiri kwa kuchanganya maneno ya kiswahili na kiingereza. Si mnawajua wachungaji wetu...
6 Reactions
16 Replies
176 Views
Kwanza kabisa kabla ya kuweka maono mapya niliyoyapata kuhusu dini mpya. Naomba kama kuna mtu humu Jf nimemkosea anisamehe nanyi wote nawasamehe kabisa. Sijui kwa nini Mungu Amechagua namba 7 na...
3 Reactions
180 Replies
591 Views
Km kawaida yangu nilikua ndani ya soko la karume mchikichin napiga mishe zangu za usabanga ili nipate rizki ya kuweza kumudu matumizi yangu ghafla tambo likaita kuangalia mpigaji namba ngeni Mzee...
3 Reactions
5 Replies
26 Views
Just wondering na kutaka kujifunza kupitia wazoefu wa hili swala huwa inakuwaje?. Je mwanaume unajisikiaje ukifikia msindo/ kileleni kupitia msisimko wa tezi kibofu(prostate). Is it worth trying...
2 Reactions
14 Replies
208 Views
🔥🐔 TANGAZO KWA WAFUGAJI WOTE! 🐔🔥 🐣 VIFARANGA VYA KIENYEJI VINAPATIKANA! 🐣 Unatafuta vifaranga vya kienyeji kwa ajili ya kuanzisha au kuongeza ufugaji wako? Tunavyo vifaranga bora vinavyokufaa! 🐔💯...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
Chozi la mwanaume kwenye mapambano ya maisha ni kitu adimu sana kama maji yalivyo adimu kwenye jiwe. Lakini unapoliona chozi hilo likitiririka, ujue kuna jambo limegusa sehemu ya ndani kabisa ya...
10 Reactions
35 Replies
231 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
317 Reactions
188K Replies
7M Views
Ukitembea kwenye mitaa ya makazi Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Arusha au Dodoma, utaona picha inayochanganya kidogo. Kwenye nguzo kama za umeme, kuna nyaya za mtandao zimetandazwa hadi mitaani...
29 Reactions
63 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
2,101,684
Posts
56,372,258
Back
Top Bottom