Zitto surgery tayari na anaendelea vizuri

hahahaha! na kweli! proffesor nani vileee?
tatizo la waandishi wetu wa habari ni uvivu wa kufanya kazi yao. wakiambiwa wanaandika tu. hawawezi hata kuhoji ent wachache wajue procedure inafanyikaje na kwa nini hatuwezi kufanya hapa kwetu!

Zitto aliambiwa na Professor kuwa hawezi kufanyiwa hiyo 'surgery' hapa kwetu. Sasa wewe unaleta hizi taarifa zako ili upotoshe watu tu.
 
So the whole thing took four hours which tells something on how serious an infliction was. Altogether thanks God that the process went successfully and the vibrant politico has yet another lifeline to continue his campaign against irresponsible CCM. His contribution to the nation is extremely important especially during this period when everything goes chaotic. Hoping will come back to put more pressure on the crook Mkulo until he steps down.

Mwita25 is that you!!!?
 
Mh sasa kama malaria au kipanda uso kinahitaji upasuaji huku nyumbani tutakufa basi na hospitali zetu za kaswenswe
 
He was bound to be ok!! Hizo operesheni zinafanywa kila leo na ents' kina prof moshi hapo muhimbili. Basi tu kaupepo ka kwenda india kamempitia

Khe! Nilidhani hao maprofesa wa muhimbili ndio waliona vyema akatibiwe huko.
 
We wait on ccm becoz they collect all the cash from all sources (even my salary,phewww) and plan how to squander it around on silly stuff! The duty is solely theirs till we decide otherwise!
CCM are not Gods, you can start a Hospital its allowed. Why wait for CCM?
 
Get well soon zitto kabwe.jpg

Kila la kheri Mkuu.
 
CCM are not Gods, you can start a Hospital its allowed. Why wait for CCM?



Hapo kwenye red ndio wanaoongoza serikali kwa hiyo wanatakiwa waweke vipaumbele kwenye hilo......
Hata zito alipofika India alishauri serikali ione hilo swala la kutibiwa nje ni tatizo linalohitaji ufumbuzi!!


WAMEKALIA KUWALIPA DOWANS WAKATI HATA HOSP NA WATAALAMU HAKUNA.....HOPELESS
 
Pole sana Kamanda Zitto! Tunakuombea kwa Mungu upone haraka.

Hawa wanaokuponda hawajui nini wanachokiongea wasamehe bure
 
So the whole thing took four hours which tells something on how serious an infliction was. Altogether thanks God that the process went successfully and the vibrant politico has yet another lifeline to continue his campaign against irresponsible CCM. His contribution to the nation is extremely important especially during this period when everything goes chaotic. Hoping will come back to put more pressure on the crook Mkulo until he steps down.
Kumradhi Mwita25. Kuna siku nilikuita wewe kuwa ni mnafiki kwa post yako iliyokuwa ikiiponda serikali na magamba. Hii ilitokana na post zako kabla, wakati na muda mfupi baada ya uchaguzi mdogo wa igunga ambapo ulikuwa unasapoti hata ujinga wa ccm na serikali yake.
Lakini your U-turn kubwa uliyoifanya inarejesha imani kwamba kuna cha zaidi katika mindset yako. Nafuta kauli yangu ya kuwa wewe ni mnafiki, ila naiacha ya kwamba wewe ni kigeugeu
 
kwahyo Mhimbil walitupga changa la macho na vijidudu 150 vya malaria?
Nimekuwa nikiamini ya kuwa watu wanaochangia katika JF ni wa daraja fulani kwani ku access computer na internet kwa hapa kwetu bado kwa kiwango kidogo.
Kuwa na ugonjwa mmoja hakukuzuii kupata ugonjwa mwingine au kwa maneno mengine unaweza kuwa na cancer na bado ukapata malaria.
Hili limeelezwa vizuri yet watu mnarudi na maneno yale yale.
Kuna wengine tunaona JF ni sehemu muhimu sana lakini naona wachangiaje wengine mnalishusha hadhi jamvi.
 
WanaJF

Kwa jinsi ninavyomkubali Mhe. Zitto nimejikuta ninabubujikwa na majozi ya furaha kusikia upasuaji huo umeenda vizuri hadi sasa...Tuzidi kutanguliza dua na sala kwa Mungu ili Mhe Zitto arudi salama. Watanzania tunamhitaji Zitto katika hali ilivyo sasa......
 
Back
Top Bottom