Nono
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,536
- 643
Pole sana Zitto na Mungu akupe nguvu urejee tena kuendeleza harakati za kuishamirisha nchi yako kijamii na kiuchumi.
Shida yangu ni moja na kubwa nayo ni kwanini operesheni ndogo kama hii kwenda kufanyika India ambapo kunahitaji gharama kubwa kuanzia usafiri hadi operesheni yenyewe? Ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kupata operesheni hii endapo itaendelea tu kutolewa india na kwingineko ughaibuni?
Changamoto ya kwanza Zitto ukirudi ni kutuhakikishia kuwa mtaibana vipi serikali kufutilia mbali huu utaratibu wa kuendelea kuwatibia viongozi wetu nje ya nchi kwa gharama kubwa kiasi hiki, huku wananchi maskini wakiwa hawana madawati na wengi wao wakiwa hawana uwezo wa kupata dawa za bei nafuu kutibia magonjwa ya kawaida. Nakutakeni mje na suluhisho, ili kesho na keshokutwa sote tuweze kuwalipa wataallamu wetu WATANZANIA kutufanyia tiba kama hizi. Tuachane na hii aibu