Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,031
- 760
Chanzo chenye ndio hicho? duhh!
yetu macho
Chanzo chenye ndio hicho? duhh!
That's why we need strong opposition to analyse critically
Chanzo chenyewe ndio hicho? duhh!
Nakubaliana na chadema kwa marekebisho yote ila hapo kwenye posho noooooo watu wataishije wakati mishahara ni midogo leo ukiondoa posho watu watashindwa kumudu gharama za maisha.msishabikie siasa ukweli ndio huo ukiondoa posho uzidishe mshahara hilo sijaliona katika hoja zao wao wanalazimisha posho zfutwe halafu watu wakale wapiiii
Hawezi kumfukuza kwani Kikwete naye ametoa ilani isiyotekelezeka.
Naona umedandia treni kwa mbele mkuu ,kwani si kila mtanzania au mfanyakazi anapata posho sijajua ni posho gani unayoitetea inayokusaidia kumudu maisha.KUMBUKA WENYE MISHAHARA MIKUBWA NA POSHO ZAO NI KUBWA.Kama sijakosea kinachosemwa ni Posho za vikao.Nakubaliana na chadema kwa marekebisho yote ila hapo kwenye posho noooooo watu wataishije wakati mishahara ni midogo leo ukiondoa posho watu watashindwa kumudu gharama za maisha.msishabikie siasa ukweli ndio huo ukiondoa posho uzidishe mshahara hilo sijaliona katika hoja zao wao wanalazimisha posho zfutwe halafu watu wakale wapiiii
Mbona kuna wafanyakazi wa serikali mfano walimu,hawapati posho lakini wanamudu maisha?Nakubaliana na chadema kwa marekebisho yote ila hapo kwenye posho noooooo watu wataishije wakati mishahara ni midogo leo ukiondoa posho watu watashindwa kumudu gharama za maisha.msishabikie siasa ukweli ndio huo ukiondoa posho uzidishe mshahara hilo sijaliona katika hoja zao wao wanalazimisha posho zfutwe halafu watu wakale wapiiii