Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
Hivi Zitto anahitaji makosa ya Mkullo kupata umaarufu? Kati ya Mkullo na Zitto nani maarufu? Namshauri Mkullo amwalike Zitto waende pale UDOM waone; na kila mmoja aitishe mkutano waone nani atakuwa na wasikilizaji wengi? Na kama hiyo ni ngumu, basi waitishe mkutano mmoja halafu waone nani ataonja joto ya zomeazomea.
Mkullo badala ya kujibu hoja anarukia mambo mepesi mepesi. Waziri wa Fedha kuwa kilaza ni aibu sana.
Mkullo badala ya kujibu hoja anarukia mambo mepesi mepesi. Waziri wa Fedha kuwa kilaza ni aibu sana.