Zitto kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.
Duh!kwa lipi mkuu,au kwa kuuza CDM kwa kina Rostam Aziz na wenzake?huna jipya mkuu!!

Huyu ni mercenary hata siku moja hawezi kufananishwa na Dr. Slaa!! Ashukuru MUNGU mpaka sasa hawajamfukuza Chadema!! Urais unaousema ni wa nchi gani pengine wa huko jimboni kwake ambako pia safari hii walimbana koo.
 
Hakuna haja ya kumfukuza.
Unajua zile bangili za kichina za kuvisha kwenye m...kama una govi, linanyauka taratibu afu mwishowe linadondoka? Utamalizia.

MOD Fungia hii mitu mala moja!! hawezi kuwa na matusi hadharani na munamuacha tu? au kwa sababu ni wa mfuasi wa chama kile?
 
Naunga mkono hoja. Ukiachilia dosari na mapungufu madogo madogo,, ZITTO KABWE ndiye anafaa zaidi na mvuto zaidi ndani ya CDM kuliko Slaa au Mbowe. Huyu kijana anapendwa na watu wa rika zote na amejaa busara na hekima kuliko wengine. Hana mabo ya "hovyo hovyo" Sijawahi kusikia kaiba mke au girl friend wa mtu. Go ZITTOO!
 
MOD Fungia hii mitu mala moja!! hawezi kuwa na matusi hadharani na munamuacha tu? au kwa sababu ni wa mfuasi wa chama kile?

CCM damdam nikilala sipati usingizi naota CCM tu, nadhani hata dam yangu itakuwa njano kijani.
Munkari nazidi sometym mazee mezea mtu mzima
 
Nadhani hujui unaeongea nae. Na wala sina haja ya kukupa faida kubwa, kwa ufupi:

Anaekuleza hayo ni: Semi retired professional who worked with International corporations for over 25 Years in decision making positions. Currently a shareholder and member of the boards in several good companies ranging from Services, Farming, Trading to Tourist lodges and Hotels.

That's majimshindo, for your information.
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 22nd February 2011
Posts : 851
Thanks 77 Thanked 137 Times in 101 Posts

Rep Power : 21

Ulichonifurahisha kumbe unapendakuwa na maisha mzuri halafu bado unakuwa malaya wa wanasiasa, unasikitisha kuliko kupita maelezo, post zako ulizopost na muda uliojiunga JF zinakuonesha zahiri kwamba wewe ni mtu wa namna gani, ushaidi uko wazi kwamba wewe ni jobless na hauna commitment zozote zaidi ya kutumia muda wako mwingi hapa JF kwa kuwekewa internet bundle na mabwana zako, shame on u, sikujuwa kwamba hata majuwa kama wewe kuwa huwa mnatamani maisha mazuri.
 
semiretired, maana yake, kazi zangu nyingi hufanyiwa na watu, na nnawalipa vizuri tu, nami hu "attend board meetings" nnapopenda au nnapohitajika, muda mrefu nachezea haka ka laptop na ka Bold Blackberry kangu. Na napenda kuingia JF kwani muda mrefu huwa ni "jobless" kweli. Usishangae upya wangu, majina mengine nisha pighwa ban sana na chadema humu JF. Hili la majimshindo, aijuwae maana yake atajuwa nilikuwa nikiingia na jina lipi kabla. Kisia!

Nashkuru Mungu nimesha fanya kazi sana ujanani, ndani na nje ya Tanzania na sasa ni haki yangu "kulia kivulini" kwani nilichumia juani.

Ahsante kwa kunitusi, sina cha kukujibu ila kukuombea Mungu wako akupe imani na uwache matusi.

Nadhani wewe ndiye unayaota maisha, kwangu ni kawaida. Muulize babako au mamako, lazima mmoja wapo ananifahamu, wewe waulize tu, majimshindo mnamjuwa? watakwambia.
 
Nadhani hujui unaeongea nae. Na wala sina haja ya kukupa faida kubwa, kwa ufupi:

Anaekuleza hayo ni: Semi retired professional who worked with International corporations for over 25 Years in decision making positions. Currently a shareholder and member of the boards in several good companies ranging from Services, Farming, Trading to Tourist lodges and Hotels.

That's majimshindo, for your information.

Yaani sijawahi kuona zuzu JF kama wewe!
Sasa kuwa na hela,kufanya kazi sijui wapi na mbwembwe kibao ndo zinakufanya uwe na akili?
Au hivyo ni vigezo vya wewe kutopingwa maoni yako hasa ya kijinga yaliyo jaa matusi?

Ahh,hata kama wewe ni mzee sana ila na wasi wasi kama zinakutosha vizuri

Mimi ni mwanafunza,just 24 ila kwa ulicho andika nakuona kama mtoto wa darasa la5 anae lingishia watoto wenzake "baba yangu ana hiki na kile"

Huna lolote,na i guess hata ulivyo andika ni unatamani tu kuwa navyo
 
Watu mngebishana kwa hoja zaidi kuliko mipasho. MKUBWA Majimshindo....Labda ungetuchambulia kinagaubaga hawa watu 3 uliowaainisha Slaa, Kabwa na Mbowe, kwanini hawawezi and tupe altenative, kwa hoja and not kama ulivyoeleza.

Si Zitto wala Slaa wala Mbowe wanaofaa.

1) Zitto: jazba, hasira, hamaki, hafichi "emotions zake". Anafaa kuwa mkurungenzi wa idara katika serikali.

2) Slaa: hawezi kabisa uongozi. Alishindwa wa kanisa unaohudumia jamii yenye imani kama yake, na maadili ndio hivyo tena kama tujuavyo. Hafai hata kuwa diwani. Anafaa kuwa mfugaji na ajilimbikizie wake wa kumsaidia.

Mbowe: Huyu anafaa kuwa waziri wa starehe kutokana na ujuzi wake wa kuchezesha Disko kwa muda mrefu. Uongozi wowote wenye utendaji hauwezi kwani hata kampuni yake ilioanzishwa kwa mali za kurithi "kaifilisi" haina hata hela za kulipa deni alilokopa NSSF. Sasa huyu akipewa nchi si kasheshe.
 
Mode naomba hii thread uifunge. Sidhani kama inamaslahi yoyote kwa Watanzania na hata wanajf.
Tuanzishe thread zenye tija!
 
Mode naomba hii thread uifunge. Sidhani kama inamaslahi yoyote kwa Watanzania na hata wanajf.
Tuanzishe thread zenye tija!

Kweli mkuu,japokua tunatakiwa kuheshimu mawazo ya watu,ila kwa hii thread sioni kama imekuja kwa wakati muafaka ukizingatia kuwa tunatakiwa kuweka mawazo yetu mbele kuona ni namna gani tutasonga mbele kimaendeleo na sio nani atatutoa wapi na atupeleke wapi.
 
Kweli umesema Bwana Mdogo Zitto ni nzuri sana ila ajakoma kiutuuzima. Anayumbishwa na CCM na vihela vidogo na bila shaka Rostam amemweka sawa kuvuruga CHADEMA. Asipoangalia vizuri hawa hawa CCM watamweka Kitanzi kwenye geneza. Aache kula huko na huko atulie na kwa na msimamo.
 
jamani naomba kujulishwa huyu zito matendo anayofanya mpaka picha tumeona anahutubia wanachama wa ccm kwa nini viongozi wa chama chake hawayatolei matamko?nawakilisha
 
jamani naomba kujulishwa huyu zito matendo anayofanya mpaka picha tumeona anahutubia wanachama wa ccm kwa nini viongozi wa chama chake hawayatolei matamko?nawakilisha

ana kazi maalum huyu. Karibu mjengoni. tuko imara (toa uthibitisho-vinginevyo mpelekee majungu aliyekutuma). jf haijadili majungu.
 
Sioni tatizo zitto kuhutubia wanachama wa ccm inawezekana alikuwa anawaeleza sera nzuri za chadema ili kuwashawishi wajiunge na chadema.
 
jamani naomba kujulishwa huyu zito matendo anayofanya mpaka picha tumeona anahutubia wanachama wa ccm kwa nini viongozi wa chama chake hawayatolei matamko?nawakilisha

kama huna la kuandika uwe unakaa kimya sio kuandika nawewe uhesabike umeandika
 
Sioni tatizo zitto kuhutubia wanachama wa ccm inawezekana alikuwa anawaeleza sera nzuri za chadema ili kuwashawishi wajiunge na chadema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom